Ukimsi
Ukimsikiliza mtoto wa Magufuri anapomzungumzia jinsi baba yake alivyokuwa anafanya kazi kama Rais, halafu ukivuta picha ya huyu Mama jinsi atakavyokuwa anafanya kazi,halafu tena anataka agombee tena,naona jibu lake utalipata kwa nini alijipitisha bila kupingwaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii Leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ya Chamwino Mkoani Dodoma.View attachment 3319835View attachment 3319837
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.