Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

Amewakumbusha kuendelea kula kwa urefu wa kamba zao??
Hatuna Rais!
 
Lucas Asante kwa taarifa.

Kama Ikulu haijakupa kazi rasmi ya kuwa mjarambe wa mama hapa JF, ni wakati wakuteue tu kwa kazi hii 😂😂😂
 
Hiyo ni sehemu ya majukumu yakr ya kila siku haipaswi kuwa habari. Ni sawa na kusema Leo mfanyabiashara fulani amefungua duka lake
 
Kusanyiko la wahuni
 
Safi sana.Wananchi tuko pamoja naye
 
Safi sana.Habari njema
 
Wewe kmmk unatuaibusha watu wa Mbeya,mbona sisi tabia za kujikomba hatujazoea mbw wewe,janaume linasifu utafikiri linaenda kgngwa.
 
Habari njema kwa wote
 
Habari njema kwa watanzania wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…