Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

Ukimsi
Ukimsikiliza mtoto wa Magufuri anapomzungumzia jinsi baba yake alivyokuwa anafanya kazi kama Rais, halafu ukivuta picha ya huyu Mama jinsi atakavyokuwa anafanya kazi,halafu tena anataka agombee tena,naona jibu lake utalipata kwa nini alijipitisha bila kupingwa
 
Mpini chuma ,shoka chuma yaani SSH ni 🔥🔥
 
Kwani wapi nimesema kuwa natafuta uteuzi hapa jukwaani
Huwezi Ukawa unapost ujinga wa namna hiyo bila kutegemea chochote.

Kama unapost bila kutegemea chochote utakua na matatizo ya akili wewe.

Serikali hii unaisifia kama tu unanufaika na upigaji. Itakua mtu wa ajabu sana na punguani namba Moja kama unaisifia na hupati chochote.

Kusifia pia hata kama unapata chochote ni ujuha. Ishi katika uhalisia. Ndio ni ndio na hapana ni hapana.
 
Rais wetu Mpendwa ni mchapakazi na mwenye Uwezo mkubwa sana kiuongozi. Ndio sababu Taifa letu limepiga hatua kubwa za kimaendeleo. Ndio maana Mama yetu ni miongoni Mwa Watu mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani
 
Wewe ndiye inaonyesha una upunguani na chuki binafsi
 
Jinsi alivyokaa tu unaona kabisa huyu ni incompetent yani bahati ya mtende ilimwangukia
 
Rais wetu Mpendwa ni mchapakazi na mwenye Uwezo mkubwa sana kiuongozi. Ndio sababu Taifa letu limepiga hatua kubwa za kimaendeleo. Ndio maana Mama yetu ni miongoni Mwa Watu mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani
Ushawishi Gani huo alionao.

Saiz hata diplomasia tu ya biashara hamna.
Malawi mara South Africa mara Kagame aibishe wanajeshi wetu.

Unadhani kipindi cha jiwe Malawi angefanya hivyo kukataa bidhaa za kilimo? Kagame angethubutu kudhalilisha wanajeshi wetu? Hata msoga asingekubali.

Acha kujaza na kumalaza data za watu Kwa mabandiko Yako yasiyo na tija.
 
Hakuna kiongozi mwenye ushawishi na nguvu kumpita Rais Samia kwa sasa hapa Barani Afrika
 
Rais wetu Mpendwa ni mchapakazi na mwenye Uwezo mkubwa sana kiuongozi. Ndio sababu Taifa letu limepiga hatua kubwa za kimaendeleo. Ndio maana Mama yetu ni miongoni Mwa Watu mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani
Endelea kutuhabarisha.Wajuwa unawaumiza wengi akili zao.Tupe habari mpya mpya za mama na maendeleo.Na sisi wananchi wa kawaida tunaeifikisha mitaani.Wananchi wengi wanafurahi.
 
Endelea kutuhabarisha.Wajuwa unawaumiza wengi akili zao.Tupe habari mpya mpya za mama na maendeleo.Na sisi wananchi wa kawaida tunaeifikisha mitaani.Wananchi wengi wanafurahi.
Maendeleo yapo wazi na yanaonekana kwa yeyote asiye na upofu wa akili na macho. Kila kona kuna miradi ya maendeleo ambayo mama Amepeleka
 
Dada umesahau kuweka namba ya simu!
 
Mafesadi aka majezee ya mali za tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…