Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

Kazi iendelee....mawaziri chapeni kazi kwa bidii na maarifa. Kila waziri atimize wajibu wake kwa 100%.

Maoni yangu;
95% ya mawaziri wote wanafanya kazi kwa bidii na maarifa.
5% ya mawaziri waliobaki wanazuga.....wapo kama hawapo, yaani hawafuatilii mambo serious, wizara ya afya, ardhi, utaliii na uchukuzi/usafirishaji.
 
Daaaaaa toilet paper......au c...ond...o..m
 
Chuma kimeoza hakina lolote. Hamkumwelewa Wasira kuhusu bodi limezeeka.

Chuma kilicho imara kipo limesimama subiri kianze kazi. Mnakiogopa mpaka mnachomoa spea mnaficha ili lisiendelee kuzalisha bidhaa.

Lissu free free free.
No Reforms No Election itaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…