Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Juni 2024.

IMG-20240629-WA0032.jpg
IMG-20240629-WA0035.jpg
IMG-20240629-WA0036.jpg
IMG-20240629-WA0038.jpg
IMG-20240629-WA0034.jpg
IMG-20240629-WA0034.jpg
IMG-20240629-WA0033.jpg

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee
 
Lakini Mtalii ajiandae kisaikolojia. Wazalendo wa zanzibar wameamua kuleta Mamlaka Kamili, Zanzibar Mpya, Zanzibar yenye umoja.
 
Agenda namba moja ni jinsi gani ya kuyadumaza MAGEN Z ya kitanzania kifikra
hapa hakuna Upuuzi huo.
Watanzania wanajitambua, Hawapendi kuleta rabsha zisizo na Faida kwa RAIA.

Kwani Mageuzi ya Vyama Vingi yaleletwa na Maandamano?
Ni akili tuu na ukima wa kimkakati.
Walijuwa Kuwa Watanzania wameshachoka na chama kimoja.
na kwa sasa wakijua kuwa mumechoka na CCM watachenji mfumo.
Lakini Unafiki na Usaliti kwa tamaa ya Kuhongwa Mutabaki na CCM hadi Mwisho wa Dunia.
 
Hamna cha kujitambua
 
Kila siku vikao halafu ujinga tu.
Cha kushangaza hivyo vikao vya ujinga tu"
Mama ni mtu poa sana sema angejua mapema angechukua watu kama mpina sio hao masnich wanamharibia huku wanamsifia.
Hakuna mtu hovyo kama mpina, huyo katesa sana wavuvi.

Huyo matatizo yake ya kujinwambafai ni heri hata usiyasikie, unaweza kusema kwanini hayupo kifungoni.
 
Back
Top Bottom