Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Makao makuu CCM Dodoma
Ikulu Dodoma
Vikao Dsm hii Nchi kuna shida sehemu
Hizo gharama!!!
 
Toa uchizi wako hàpa bibi si wako Tanganyika imemshika Hana kauli , utajua hujui shangazi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Yaani hata ukitazama tu kwa picha na namna wajumbe walivyokaa unaona dhahiri kabisa kuwa hiki ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania, unaona ni chama chenye kutoa muelekeo wa nchi, unaona ni chama kilicho imara na mfumo thabiti, unaona ni chama chenye Dira na muelekeo unaoeleweka na maono yenye kulipeleka mbele Taifa letu kimaendeleo.

Unaona namna kilivyosheheni watu wazito, wenye akili, upeo, maarifa, utulivu, uwezo wa kiuongozi na wanaostahili kuwa hapo walipo, unaona ni chama kinachojuwa nini watanzania wanataka, nini kiu ya wengi, unaona ni chama chenye majibu na majawabu ya maswali ya watu, unaona kimebeba na kuunganisha watu wenye mawazo na maono makubwa kwa mstakabali wa Taifa letu, unaona ni watu wenye vibali na Karama za uongozi na kibali mbele za Mungu.

Sasa nenda upande wa pili kule kwa CHADEMA, utacheka mpaka upasuke, kwanza wanaingia vikaoni kila mtu akiwa hana matumaini wala mawazo ya kukijenga chama wala kukipa uhai wala dira na muelekeo unaoeleweka, ni chama ambacho ni kama mkusanyiko wa watu mnadani ambapo wengine huenda tu kwa ajili ya kutembea na kuzurura tu na kupoteza Muda.

Itachukua miaka mingi sana zaidi ya Millenium kadhaa kwa vyama vya upinzani kufikia hata robo tu ya nguvu ya CCM. Vyama vya upinzani ni vyama vinavyostahili kuendelea kuongozwa tu. CCM itaendelea kuwa chama kiongozi kwa muda wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Screenshot_20240629-153311_1.jpg

Pia soma: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30
 
Hicho siyo kikao ni genge la kihalifu linajadili namna ya kuwaumiza wtz.
Inanikumbusha vikao vya wale nguruwe kwenye kitabu cha hadithi cha "The animals farm" (Shamba la wanyama) chake mtunzi George Orwell. Nguruwe hawakuamini siku mapinduzi yalipotokea bila ya kutarajiwa, waliachwa wasijue pa kukimbilia huku wengine wakigalala kwenye matope kwa uchungu na huzuni sana Lucas Mwashambwa
 
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Juni 2024.

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee
Wamejaa damu za watanzania maskini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Yaani hata ukitazama tu kwa picha na namna wajumbe walivyokaa unaona dhahiri kabisa kuwa hiki ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania, unaona ni chama chenye kutoa muelekeo wa nchi, unaona ni chama kilicho imara na mfumo thabiti, unaona ni chama chenye Dira na muelekeo unaoeleweka na maono yenye kulipeleka mbele Taifa letu kimaendeleo.

Unaona namna kilivyosheheni watu wazito, wenye akili, upeo, maarifa, utulivu, uwezo wa kiuongozi na wanaostahili kuwa hapo walipo, unaona ni chama kinachojuwa nini watanzania wanataka, nini kiu ya wengi, unaona ni chama chenye majibu na majawabu ya maswali ya watu, unaona kimebeba na kuunganisha watu wenye mawazo na maono makubwa kwa mstakabali wa Taifa letu, unaona ni watu wenye vibali na Karama za uongozi na kibali mbele za Mungu.

Sasa nenda upande wa pili kule kwa CHADEMA, utacheka mpaka upasuke, kwanza wanaingia vikaoni kila mtu akiwa hana matumaini wala mawazo ya kukijenga chama wala kukipa uhai wala dira na muelekeo unaoeleweka, ni chama ambacho ni kama mkusanyiko wa watu mnadani ambapo wengine huenda tu kwa ajili ya kutembea na kuzurura tu na kupoteza Muda.

Itachukua miaka mingi sana zaidi ya Millenium kadhaa kwa vyama vya upinzani kufikia hata robo tu ya nguvu ya CCM. Vyama vya upinzani ni vyama vinavyostahili kuendelea kuongozwa tu. CCM itaendelea kuwa chama kiongozi kwa muda wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3029083

Pia soma: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30
Majizi tu hayo...wenye matumaini ni nyie chawa
 
Kila la Heri Mwenyekiti na Wajumbe mtoke na maazimio yenye tija kwa Taifa.
 
Wamesema nini juu ya utekaji, utesaji, kujeruhi, nk kunakozidi kushika kasi nchini?
 
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Juni 2024.

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee
Mood barometer

KM Chongolo vs KM Nchimbi

Mwenezi Makonda vs Mwenezi Mongela
 
Ndugu zangu Watanzania,

Yaani hata ukitazama tu kwa picha na namna wajumbe walivyokaa unaona dhahiri kabisa kuwa hiki ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania, unaona ni chama chenye kutoa muelekeo wa nchi, unaona ni chama kilicho imara na mfumo thabiti, unaona ni chama chenye Dira na muelekeo unaoeleweka na maono yenye kulipeleka mbele Taifa letu kimaendeleo.

Unaona namna kilivyosheheni watu wazito, wenye akili, upeo, maarifa, utulivu, uwezo wa kiuongozi na wanaostahili kuwa hapo walipo, unaona ni chama kinachojuwa nini watanzania wanataka, nini kiu ya wengi, unaona ni chama chenye majibu na majawabu ya maswali ya watu, unaona kimebeba na kuunganisha watu wenye mawazo na maono makubwa kwa mstakabali wa Taifa letu, unaona ni watu wenye vibali na Karama za uongozi na kibali mbele za Mungu.

Sasa nenda upande wa pili kule kwa CHADEMA, utacheka mpaka upasuke, kwanza wanaingia vikaoni kila mtu akiwa hana matumaini wala mawazo ya kukijenga chama wala kukipa uhai wala dira na muelekeo unaoeleweka, ni chama ambacho ni kama mkusanyiko wa watu mnadani ambapo wengine huenda tu kwa ajili ya kutembea na kuzurura tu na kupoteza Muda.

Itachukua miaka mingi sana zaidi ya Millenium kadhaa kwa vyama vya upinzani kufikia hata robo tu ya nguvu ya CCM. Vyama vya upinzani ni vyama vinavyostahili kuendelea kuongozwa tu. CCM itaendelea kuwa chama kiongozi kwa muda wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3029083

Pia soma: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30
Majembe auction mart, kujadili Mnada wa MAMA TANAGANYIKA 🤣🤣🐸🐸🐸🤸🤸🤸🧑‍🦯🧑‍🦯
 
Back
Top Bottom