Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Chawa la chura kiziwiMpina mavi debe.
Maiti nyingine hii hapa aliyoisema jomo kenyattaMpina mavi debe.
Bahati yake mama ni mtu wa Reconciliation, atamtetea ki aina yake.
hapa hakuna Upuuzi huo.Agenda namba moja ni jinsi gani ya kuyadumaza MAGEN Z ya kitanzania kifikra
Hamna cha kujitambuahapa hakuna Upuuzi huo.
Watanzania wanajitambua, Hawapendi kuleta rabsha zisizo na Faida kwa RAIA.
Kwani Mageuzi ya Vyama Vingi yaleletwa na Maandamano?
Ni akili tuu na ukima wa kimkakati.
Walijuwa Kuwa Watanzania wameshachoka na chama kimoja.
na kwa sasa wakijua kuwa mumechoka na CCM watachenji mfumo.
Lakini Unafiki na Usaliti kwa tamaa ya Kuhongwa Mutabaki na CCM hadi Mwisho wa Dunia.
Acha matusi ya kijinga wewe!Mpina mavi debe.
Bahati yake mama ni mtu wa Reconciliation, atamtetea ki aina yake.
Mfu kabisa!Maiti nyingine hii hapa aliyoisema jomo kenyatta
Kabisa!Ameongoza kikao Cha maiti Kwa mujibu wa jomo kenyatta
Mama ni mtu poa sana sema angejua mapema angechukua watu kama mpina sio hao masnich wanamharibia huku wanamsifia.Mpina mavi debe.
Bahati yake mama ni mtu wa Reconciliation, atamtetea ki aina yake.
Halafu ni Swala 5 huyo ustaadhAcha matusi ya kijinga wewe!
Cha kushangaza hivyo vikao vya ujinga tu"Kila siku vikao halafu ujinga tu.
Hakuna mtu hovyo kama mpina, huyo katesa sana wavuvi.Mama ni mtu poa sana sema angejua mapema angechukua watu kama mpina sio hao masnich wanamharibia huku wanamsifia.