Hana habari ya kinachoendelea Tanganyika.... Pascal Mayalla jeuli kweli kweliMwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
Mke wa Mchengerwa na Mume, Dodo na pacha wake, Kikwete family, Nchimbi na mdogo wake aibu tupuNimemuona mzee Mizengo Pita Kayanza Pinda akiwa kwenye kikao kinachowajadili Geoffey Pinda na mwenzake Ole Pinda!
Kashavunja 50 yakeHana habari ya kinachoendelea Tanganyika.... Pascal Mayalla jeuli kweli kweli
Je leo nani anamlindia mwenzie maji ya kunywa?Hana habari ya kinachoendelea Tanganyika.... Pascal Mayalla jeuli kweli kweli
Hana habari ya kinachoendelea Tanganyika.... Pascal Mayalla jeuli kweli kweli
Labda wa tffRais raha bwana kila siku vikao
Na mimi naomba niwe rais
Pesa zetu zimependezesha ukumbi.Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
Wasimsahau Baba Levo,amejithidi sana anaweza kuwa mbunge mzuri zaidi ya Musukuma.Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
watanifanya nini?Jeuri✔️
Wamempuuza tayari. hata hicho cha saa 2 leo hakina effect kwake if not sounds from Mbinguni!Slow slow nakala imfikie hii 😄
Ova
Kitambo washamu ignore 😄Wamempuuza tayari. hata hicho cha saa 2 leo hakina effect kwake if not sounds from Mbinguni!