GE2025 Rais Samia aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Baraza la Wawakilishi

GE2025 Rais Samia aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Baraza la Wawakilishi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanagawana keki ya taifa kwa kigezo cha uteuzi na watanganyika wako wako tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
we
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.

View attachment 3447941
very interesting and beautiful,
well done Chama Cha mapinduzi 💪👊
 
Back
Top Bottom