Dua ya kuku hiiKumbe mashetani, madhulumu haki yamekutana leo ili kugawana madaraka!! Laana kuu ya Mungu, tunaomba ikawe juu yao. Yagawane madaraka, lakini kamwe yasionje furaha, amani wala uzima wa rohoni.
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
HaitusaidiiMwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
Huogopi kulogwa?🤣Nimemuona mzee Mizengo Pita Kayanza Pinda akiwa kwenye kikao kinachowajadili Geoffey Pinda na mwenzake Ole Pinda!
Kosa langu lipi mkuu hapo, au wewe hujamuona. Utakuwa uonevu huo alooHuogopi kulogwa?🤣
Mwenye chuki na Rais Samia Suluhu Hassan ndio wanapoteza muda na polepole !!!Kikao Cha wahuni anaowaita polepole
21st August 2025! A day to remember.. Time is 20:00 East Africa timeMwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
Mwenye chuki na Rais Samia Suluhu Hassan ndio wanapoteza muda na polepole !!!
japo polepole hana chochote cha maana anacho ongea lkn bado chuki ndio sinawasumbua kiasi ya kushangilia maneno ya mfamaji tupu ya polepole..
Hapo kila mmoja akivua nguo,amejaa mahirizi na madawa mwili mzima 😀Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.
View attachment 3447941
Usitutishe...In Maalimu's voice! RIP21st August 2025! A day to remember.. Time is 20:00 East Africa time
Nilijua 23 Agosti ndiyo mambo yanaiva.leo Agosti 21,2025
Hii nchi ina mambo ya ajabu sanaNimemuona mzee Mizengo Pita Kayanza Pinda akiwa kwenye kikao kinachowajadili Geoffey Pinda na mwenzake Ole Pinda!