KimeanzaKikao kinaendelea au kimekwisha? Na kama kimekwisha nini kimejiri huko?
Hiki ni kikao muhimu, ila hili la CCM kufanyia vikao vya chama chetu kwenye Ikulu yetu, halijakaa vizuri, kwasababu pale CCM Lumumba kuna ukumbi mkubwa tuu wa kutosha kwa vikao vya CC na NEC.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Hiki ni kikao muhimu, ila hili la CCM kufanyia vikao Ikulu yetu, wakati pale CCM Lumumba kuna ukumbi mkubwa tuu, halina karma Njema!. Kama Mama anaweza kuepuka the accumulation of bad karma, it's so good.
Tulimpongeza JPM, kutenganisha shughuli za chama na serikali, shughuli za chama zinafanyika chamani, shughuli za serikali zinafanyika serikalini. Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!
Otherwise nawatakia kikao chama.
P
Mbadala wa nini wewe unawaza kama nyani? Yaani umekalisha migololi nyumbani ukisubiri mbadala? Mbadala ni wananchi kama wewe kuamka na kudai haki yao. Unadhani kuna watu watakuletea maendeleo wakati wewe umekaa kwenye kochi la uvivu uknywa denge?Wapinzani tuna kitu cha kujifunza kwa namna CCM wanavyoendesha mambo yao ,Wananchi wengi hawaipendi CCM lakini mbadala wake ni Changamoto sana .
Wapinzani tuna kitu cha kujifunza kwa namna CCM wanavyoendesha mambo yao ,Wananchi wengi hawaipendi CCM lakini mbadala wake ni Changamoto sana .