Maji ShingoniMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu.
Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi Wa (White House) Jijini Dodoma
View attachment 2683066View attachment 2683069View attachment 2683070View attachment 2683071View attachment 2683072