Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sipatii picha kijana unaulizwa tozo unazionaje, hahahah utacheka sana..."Ah tozo ni mujarabu sana mkuu"!!! Tena zimekuja muda muafaka 😂😂😂Ndio nchi yetu tunavyo ishi hakuna namna. Hata wanao lia tuzo, itokee uso kwa uso na mama la mama alafu amuulize anazungumzia vipi kuhusu tuzo, lazima aipambe. So acha kila mtu aishw pale kamba yake inapofikia