Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 30, 2022 #21 National Anthem said: Ndio nchi yetu tunavyo ishi hakuna namna. Hata wanao lia tuzo, itokee uso kwa uso na mama la mama alafu amuulize anazungumzia vipi kuhusu tuzo, lazima aipambe. So acha kila mtu aishw pale kamba yake inapofikia Click to expand... Sipatii picha kijana unaulizwa tozo unazionaje, hahahah utacheka sana..."Ah tozo ni mujarabu sana mkuu"!!! Tena zimekuja muda muafaka πππ
National Anthem said: Ndio nchi yetu tunavyo ishi hakuna namna. Hata wanao lia tuzo, itokee uso kwa uso na mama la mama alafu amuulize anazungumzia vipi kuhusu tuzo, lazima aipambe. So acha kila mtu aishw pale kamba yake inapofikia Click to expand... Sipatii picha kijana unaulizwa tozo unazionaje, hahahah utacheka sana..."Ah tozo ni mujarabu sana mkuu"!!! Tena zimekuja muda muafaka πππ
sheiza JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 7,640 Reaction score 11,680 Aug 30, 2022 #22 Nyabukika said: Kweli Rais Samia Suluhu ameamua kusimamia haki kwa vitendo watanzania wote tunajivunia wewe mama Click to expand... Maneno tu. Je waliodhamini sinema ya royal tour wakikosa wanafanywaje? Na wasipolipa kodi je?
Nyabukika said: Kweli Rais Samia Suluhu ameamua kusimamia haki kwa vitendo watanzania wote tunajivunia wewe mama Click to expand... Maneno tu. Je waliodhamini sinema ya royal tour wakikosa wanafanywaje? Na wasipolipa kodi je?
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Aug 30, 2022 #23 Extrovert said: Sipatii picha kijana unaulizwa tozo unazionaje, hahahah utacheka sana..."Ah tozo ni mujarabu sana mkuu"!!! Tena zimekuja muda muafaka πππ Click to expand... Maisha bila unafiki hayaendi πππ
Extrovert said: Sipatii picha kijana unaulizwa tozo unazionaje, hahahah utacheka sana..."Ah tozo ni mujarabu sana mkuu"!!! Tena zimekuja muda muafaka πππ Click to expand... Maisha bila unafiki hayaendi πππ