Rais Samia aonyesha ufundi wake wa kupika madikodiko

Rais Samia aonyesha ufundi wake wa kupika madikodiko

Mjomba side

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
72
Reaction score
96
Kusanya vitabu vya Historia, tembelea hifadhi za kumbukumbu na rekodi za kimataifa, lakini hii haijapata kutokea Tanzania. Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu ataonesha Taifa ufundi wake wa kupika chakula kwa kutumia nishati safi siku ya tarehe 8 Septemba 2024, na kuruka live kupitia Bongo FM, TBC 1, na TBC Taifa saa 4:02 asubuhi.
 
Back
Top Bottom