Rais Samia aonyesha ufundi wake wa kupika madikodiko

Rais Samia aonyesha ufundi wake wa kupika madikodiko

Kupika kwake kumekuongezea unga nyumbani kwako?
 
Kusanya vitabu vya Historia, tembelea hifadhi za kumbukumbu na rekodi za kimataifa, lakini hii haijapata kutokea Tanzania. Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu ataonesha Taifa ufundi wake wa kupika chakula kwa kutumia nishati safi siku ya tarehe 8 Septemba 2024, na kuruka live kupitia Bongo FM, TBC 1, na TBC Taifa saa 4:02 asubuhi.
Lucas Mwashambwa Kashaiona hii?
😁😁😁
 
Anataka kutrend tu
IMG-20240904-WA0070.jpg
 
Na bado hamjamuona akiwa kwenye kikosi cha serengeti girls...
#MamaMitanoTena
#YangaBingwaTena
 
"Women belong to the kitchen",huko ndio kuna mfaa..-Nyerere
 
Pika Kijanja na Mama Samia

Azimio la Kizimkazi

⏰ Saa 04:02 Asubuhi.
🗓️ 08/09/2024.
🎥 TBC 1, TBC Taifa

 
Pika kijanja na mama Samia[emoji7][emoji7][emoji441][emoji450][emoji449]
 
Ujinga tu na kushabikia upumbavu. Kupika ni jambo la kutaka attention ya Kitaifa?
 
Back
Top Bottom