Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Shida za watu masikini sio Elimu kwa watoto wao?? Anatoa Elimu bure, kajenga madarasa nchi nzima.Kwa kifupi shida za watu maskini sio zake kwa sasa amejikita kuwafurahisha watu wenye uwezo wa kununua bundle za kumsifia.
Hii ni nchi maskini raisi anatakiwa kujali shida za watu wanaoishi kwa mlo mmoja ndio walio wengi.
She chosen the Haves, over the have nots. Kwa sababu wana means za kumtetea kwa sauti kubwa.
Mother anadharau sana shida za watu maskini.
Tuliaa tule mlo kamili wewe!! Muda wa Watumishi wa umma kunufaika umefikaa!!Kwa kifupi shida za watu maskini sio zake kwa sasa amejikita kuwafurahisha watu wenye uwezo wa kununua bundle za kumsifia.
Hii ni nchi maskini raisi anatakiwa kujali shida za watu wanaoishi kwa mlo mmoja ndio walio wengi.
She chosen the Haves, over the have nots. Kwa sababu wana means za kumtetea kwa sauti kubwa.
Mother anadharau sana shida za watu maskini.
Hizo ni privilege za kila mtanzania, sema wenye nacho wanaweza kimbia hizo huduma hafifu na kulipia bora kutoka mfukoni kwao.Shida za watu masikini sio Elimu kwa watoto wao?? Anatoa Elimu bure, kajenga madarasa nchi nzima.
Shida za masikini sio huduma za afya na maji? Vituo vya kutolea huduma za afya vimejengwa na vinaendelea kujengwa nchi nzima, mabilioni yameelekezwa wizara ya maji kwa ajili ya Miradi mikubwa ya maji.
Shida za masikini sio mikopo ya Elimu ya juu?? Mama ametoa mapesa kibao kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu na amefuta penalty ya 10% ya kuchelewa kulipa deni la HESLB, amefuta retention fee ya 6% kwa wanufaika wa HESLB.
Kumbuka kwamba hizi riba na retention kweye mikopo ya HESLB zilikuwa ni manyanyaso makubwa mno kwa watoto wa kimasikini wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu. Mtu anakopeshwa 7Millions anakuja kulazimishwa alipe zaidi ya 12 hadi 13M. Mama amefutilia mbali hayo mariba na mapenalty, mtoto wa mkulima akikopeshwa 6M atakuja alipe hiyo hiyo 6M. Huoni kuwa juhudi hizi zote zinamgusa masikini??
Kilichokuuma ni watumishi wa umma kuboreshewa maslahi yao tu?? Acha wivu wa kike ndugu!!!!!
Sijabishia hilo ila elewa kwa gharama za maisha ya watu maskini wanaolipishwa mitozo ili mshahara wako na posho ziongezeke.Tuliaa tule mlo kamili wewe!! Muda wa Watumishi wa umma kunufaika umefikaa!!
Mwendawazimu alikuwa ikuluSafi Sana ,pesa itakuja kuzunguka mtaani Sasa maana miaka 6 iliyopita Nchi ilikuwa ngumu kama tumetoka vitani na Russia.
safari nje ya kituo cha kazi itabidi mpaka upate kibali toka kwake yeye raisi...nawaza rakiniila kuanzia hiyo July unaweza kushangaa safari zikawa mbinde yani mpaka upate safari utasugua sana benchi, kwaiyo bajeti ya safari za watumishi inakua ileile tu kama ya zamani/hata ikapungua & at the same time serikali ya mama imechukua credit kutoka kwa watumish kwa kupandisha viwango vya hela za safari(mi nawaza tu lakini)
Posho za safari zilikuwepo siku zote, na hao watumishi wanaosafiri ni wachache na ni dhahiri safari zitadhibitiwa sana.Sasa no wazi kuwa mpango uliopo ni kwenda ku print note, zijae mtaani.
Chapisha note za kumtosha kila mtu.
Full stop. Tutegemee bonge la mfumuko wa bei usio wa kawaida.
Atakae umia ni mwananchi wa kawaida wa kipato cha chini
Mkuu, yaani ukiwa na elimu kuanzia Degree tu....hilo ongezeko la asilimia 100 linakuhusu.Hii maana yake.
Kiwango cha chini wameongezwa 25% na kiwango cha juu wameongezwa 100+%.
Hapa inadhiirisha wakurugenzi, wakuu wa idara kupanda juu ndio wafaidika kwakuu wa ongezeko hili.
AhhahahaahahSawa, Ila watu wa chini nyongeza Yao inasononesha. Wenzao toka 120,000 Hadi 250,000 zaidi kidogo ya mara mbili ya kiwango cha hapo awali. Wao toka shilingi 80,000 hadi 100,000 yaani wameongezewa robo tu ya kiwango cha hapo awali. Ama kweli aliyenacho...
Posho kwa watumishi zinatolewa kulingana na cheo a.k.a Scale, pia mahali unapofanyia kikao (Jiji, Manispaa, Wilaya?!?....ndani ya Mkoa ama Nje ya Mkoa)Viongozi ilikuwa 120, maafisa wa kawaida 100 na kada nyingine 80 kwa safari za kikazi ktk mikoani, Sasa Kama viongozi watakula 250, maafisa wa kawaida wanakula ngapi maana watumishi kada nyingine mpya inakuwa 100
Kimsingi hizi ni pesa kwa ajili ya vigogo maana hao ndio wanajifanyaga Wana safari nyingi Sana ila kwa wengine ni kiduchu mno..Posho za safari zilikuwepo siku zote, na hao watumishi wanaosafiri ni wachache na ni dhahiri safari zitadhibitiwa sana.
Si hilo tu la kuwa na safari nyingi bali pia wanaweza kujipangia safari watakavyo. Hao wa chini ni hadi hapo watakaporidhia hao vigogo.Kimsingi hizi ni pesa kwa ajili ya vigogo maana hao ndio wanajifanyaga Wana safari nyingi Sana ila kwa wengine ni kiduchu mno..
Mathalani mimi huwa nasafiri mara moja tuu kwa mwaka kwa issue ya kiofisi.
anaupiga mwingi kama mayeleItoshe kusema kuwa huyu mama atawale milele , harafu huku sio kuupiga mwingi Bali Ni kuubutua Hadi unachana nyanvu, Hadi Sasa ni tatu bila.
Hii nchi ina maajabu kushinda ya mussa na firauni kwa ujumla.