Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kwa kifupi shida za watu maskini sio zake kwa sasa amejikita kuwafurahisha watu wenye uwezo wa kununua bundle za kumsifia.
Hii ni nchi maskini raisi anatakiwa kujali shida za watu wanaoishi kwa mlo mmoja ndio walio wengi.
She chosen the Haves, over the have nots. Kwa sababu wana means za kumtetea kwa sauti kubwa.
Mother anadharau sana shida za watu maskini.