abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Au ndio maandalizi ya kupandisha posho za wabunge?
JK alikuwa anakopa ili tujenge vyoo? Kunya tu unakukopea hela, uchumi gani huoUchumi utamshindaje wakati kuongeza spending manake unachochea uchumi?
JK ulimshinda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni lofa uliyepotiliza..JK alikuwa anakopa ili tujenge vyoo? Kunya tu unakukopea hela, uchumi gani huo
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Wa kudhibiti safari naye ni msafiri wa kudumu!Posho za safari zilikuwepo siku zote, na hao watumishi wanaosafiri ni wachache na ni dhahiri safari zitadhibitiwa sana.
kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Watoa vibali watabaki kuwa walewale tu kwasababu hili ni suala la kiprotocal ila sasa hao watoa vibali wanakua washapewa maelekezo nini chakufanya, yani ni sawa na hii mechi ya yanga na simba sasa refa aambiwe fanya juu chini ila Simba ashindesafari nje ya kituo cha kazi itabidi mpaka upate kibali toka kwake yeye raisi...nawaza rakini
Ingekuwa hvyo ungeona watumishi wa serikali kwenye list of billionaires duniani [emoji1787] [emoji1787] .
Duuh bas itakua mda wa asali na kufidia magap ya nyumamkuu kwenye bajeti review kule mbele ndio zitachomekwa hizo da kweli kila mtanzania saizi analamba asali
nchi ya wajinga hii yaani wa juu anaongezewa laki na wa chini elf 2o uwiano uko wapiRais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Waliofika hapo juu walikuwa wanalipwa chini Sana kuliko wa juu yao kipindi chao.nchi ya wajinga hii yaani wa juu anaongezewa laki na wa chini elf 2o uwiano uko wapi
Kiwango cha juu kinapanda kwa zaidi ya asilimia 100 na cha chini kwa asilimia 25 ! Na hapo ma bosi mara nyingi wanalipiwa malazi na chakula wanapewa kwenye vikao! Kwa nini vyote havikupanda kwa asilimia 25? Cha juu kiwe 150000.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Hakuna kitu kama hicho,pesa zikiwa nyingi mtaani uchochea uzalishaji na ukuaji wa uchumi.Achana na wachumi uchwara waliosoma zamani.
Kabisa, mi sielewi tu!
yap yap mama anaupiga mwingi kama fei totoDuuh bas itakua mda wa asali na kufidia magap ya nyuma
Kiwango cha juu kutoka 120,000 hadi 250,000 ongezeko la zaidi ya 100% na kiwango cha chini 80,000 hadi 100,000. Hawa wa chini wengi ni madereva. Wakubwa 130,000 juu ilihali wadogo 20,000 tu. Maisha yamepanda kwa maofisa tu? Wagonhesheni kwenye masemi trailers akili ziwakae.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.