Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro

Maeneo mengi karika Taaaisi hata hyo elf 30 haikuwezwa kutekelezwa je hyo 60 ndio itatekelezwa?
 
kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Kula kwa urefu wa kamba kama kawaida...

Mwenye nacho huongezewa maradufu, asiyenacho huongezewa marakiduchu...

Wa juu wameongezewa 100%+ wakati wa chini wameambulia 25% 🤔🤔
 
safari nje ya kituo cha kazi itabidi mpaka upate kibali toka kwake yeye raisi...nawaza rakini
Watoa vibali watabaki kuwa walewale tu kwasababu hili ni suala la kiprotocal ila sasa hao watoa vibali wanakua washapewa maelekezo nini chakufanya, yani ni sawa na hii mechi ya yanga na simba sasa refa aambiwe fanya juu chini ila Simba ashinde
 
Watakaoenjoi ni wale wenye safari nyingi. Sema 250k ni patamu sana.

Imagine unafanya kazi Dar mnaenda kwenye training wiki mbili pale Ukumbi wa Manesi Kibaha, jioni unarudi home ila unalipwa kama uko mkoani

Wiki mbili ni 3.5 M[emoji1786][emoji857]
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
nchi ya wajinga hii yaani wa juu anaongezewa laki na wa chini elf 2o uwiano uko wapi
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Kiwango cha juu kinapanda kwa zaidi ya asilimia 100 na cha chini kwa asilimia 25 ! Na hapo ma bosi mara nyingi wanalipiwa malazi na chakula wanapewa kwenye vikao! Kwa nini vyote havikupanda kwa asilimia 25? Cha juu kiwe 150000.

Amandla...
 
Na kuelekea mwisho huu wa mwaka sipati picha watumishi watakavyolazimisha overtime na safarii za kuzunguka Ili wapate per diem mtu akizunguka mwezi tayari ana uwanja
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Kiwango cha juu kutoka 120,000 hadi 250,000 ongezeko la zaidi ya 100% na kiwango cha chini 80,000 hadi 100,000. Hawa wa chini wengi ni madereva. Wakubwa 130,000 juu ilihali wadogo 20,000 tu. Maisha yamepanda kwa maofisa tu? Wagonhesheni kwenye masemi trailers akili ziwakae.
 
Kweli watu wanalamba asali sasa, ni mwendo wa vikao na kulipana posho. Watumishi wa uma lazima wahakikishe mama anarudi 2025 kwa namna yoyote ili waendelee kulamba asali na kula kwa urefu wa kamba zao na za kwetu pia.
 
Back
Top Bottom