Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama fukuza kazi Waziri wa Mifugo na Uvuvi pamoja na mkurugenzi wa TADB,hawa wanaenda kuvuruga mradi wa ufugaji samaki kwa kutumia vizimba. Sisi tulikwisha toa oda za vizimba vya kisasa nje ya nchi, wao wanalazimisha kutuuzia vya kwao.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na vijana ambao wamepata mafunzo ya ufugaji samaki katika vizimba akiwa katika ziara yake aliyoifanya Wilayani Buchosa, Mkoani Mwanza amesema fedha zilizotolewa ni fursa kubwa kwa vijana kujipatia ajira na kuondokana na kutegemea uvuvi wa asili ambao uzalishaji wake ni mdogo
Mradi huo wa vizimba vya Samaki utazalisha tani elfu Arobaini (40,000) za samaki ambazo zitaongeza uzalishaji kwa sababu mahitaji ya samaki ni makubwa sana.
Katika hatua nyingine, Waziri Ulega alisema mwaka huu pia Serikali itawakopesha wavuvi nchini kote boti za kisasa zaidi ya 150 ili waweze kuboresha shughuli zao na kuongeza uzalishaji wa samaki. Boti hizo zitafungamanishwa na teknolojia za kisasa zitakazomsaidia mvuvi kurahisisha shughuli za uvuvi.
Uko sahihi ndugu, haya mambo ndio yanataka kutukumba kwenye huu mradi. Watendaji wa serikali hawashikiki kabisa, kila mtu anataka kufanya biashara kupitia walengwa wa mradi huu.Wanapewa kina nanani! Asijekuwa kaanzisha biashara kama mtoto wa Mseveni Uganda nzima kaiteka kwa vifaa vya uvuvi usiponunua vifaa kwake ukiviweka majini havirudi.
Uko sahihi, tunakiona chamoto. Hadi sasa hizo pesa hazieleweki zitatolewa lini, ni sarakasi tupu huku kila mtu akitaka kutajirikia hapo.Hii mikopo ni ulaji wa watu
Tunapigwa danadana tu ndugu, bado Waziri na Mkurugenzi wa benki wanatafuta njia ya kuzipiga kwanza.Pesa imepelekwa lini? Wameisha anza kupatiwa hiyo pesa au hadi mwaka utamalizika wakizungushwa tu? CCM hopeless kabisa.
Uko sahihi, tunakiona chamoto huku hadi sasa.Naona shida kubwa iko kwenye kuzimamia, zitekeleze makusudio.
Yesu ni Mwokozi
Hela zimetolewa na wafadhili, acha kushupaza shingo.Bil 20 ametoa wapi?? Ina maana serikali haina hela?
Kama wametoa wafadhili mbona heading inasema samia ndiye mtoaji? Acheni upumbavuHela zimetolewa na wafadhili, acha kushupaza shingo.
Umeongea vizuri mkuu,mama kawajaza wahuni na watoto wa Mjini ,pamoja na huyo waziri wa uvuvi ,wengine ni Hawa ambao wanatakiwa kuondoka KWENYE baraza la mawaziriMama fukuza kazi Waziri wa Mifugo na Uvuvi pamoja na mkurugenzi wa TADB,hawa wanaenda kuvuruga mradi wa ufugaji samaki kwa kutumia vizimba. Sisi tulikwisha toa oda za vizimba vya kisasa nje ya nchi, wao wanalazimisha kutuuzia vya kwao.
Vizimba vyao havina ubora tunaotarajia lakini pia wameweka bei za juu sawa na hivyo tulivyopanga kuagiza nje ya nchi. Hasara ikitokea itakuwa ni yakwetu ama Serikali? Huu mradi hautakuwa na tija yeyote kama ilivyopangwa, tafadhali mama waweke pembeni wapiga dili hawa.
Kila wakati tumesisitiza vizimba tunavyohitaji kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki picha zake ni hizi hapa chini, lakini hadi sasa Mama bado hatujalipwa hizo pesa na mwezi huu unaelekea mwisho sasa. Hiyo mwezi Juni mwakani wanataka waje na tathimini za kupika? Muda unazidi kwenda.
View attachment 2367972
Hii kaliWanapewa kina nanani! Asijekuwa kaanzisha biashara kama mtoto wa Mseveni Uganda nzima kaiteka kwa vifaa vya uvuvi usiponunua vifaa kwake ukiviweka majini havirudi.
Wewe chawa wa sa100 acha upumbavu, umeambiwa hizi ni pesa za wafadhili wewe unalazimisha ziwe za serikali yako ya kitapeli?Kama wametoa wafadhili mbona heading inasema samia ndiye mtoaji? Acheni upumbavu
Mradi umeharibika kabla ya kuanza rasmiUmeongea vizuri mkuu,mama kawajaza wahuni na watoto wa Mjini ,pamoja na huyo waziri wa uvuvi ,wengine ni Hawa ambao wanatakiwa kuondoka KWENYE baraza la mawaziri
Mwigulu
Makamba
Nape
Siyo kodi ya wananchi ni mkopo kutoka kwa wafadhiliHIZO HELA KAPEWA NA MUMEWE AMEIR? KWANINI HAMNA AKILI NYIE CHAWA?
HIZO NI FEDHA ZA SERIKALI ZILIZOTOKANA NA KODI YA WANANCHI, NI LAZIMA ZIPELEKWE SIO HISANI!
Hivi bilioni ishirini tunazijua?. Imefikia wakati ambao serikali inabidi iwe inatoa mchanganuo wa jinsi ambavyo fedha hizi zinatumika.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na vijana ambao wamepata mafunzo ya ufugaji samaki katika vizimba akiwa katika ziara yake aliyoifanya Wilayani Buchosa, Mkoani Mwanza amesema fedha zilizotolewa ni fursa kubwa kwa vijana kujipatia ajira na kuondokana na kutegemea uvuvi wa asili ambao uzalishaji wake ni mdogo
Mradi huo wa vizimba vya Samaki utazalisha tani elfu Arobaini (40,000) za samaki ambazo zitaongeza uzalishaji kwa sababu mahitaji ya samaki ni makubwa sana.
Katika hatua nyingine, Waziri Ulega alisema mwaka huu pia Serikali itawakopesha wavuvi nchini kote boti za kisasa zaidi ya 150 ili waweze kuboresha shughuli zao na kuongeza uzalishaji wa samaki. Boti hizo zitafungamanishwa na teknolojia za kisasa zitakazomsaidia mvuvi kurahisisha shughuli za uvuvi.
Wamejipanga kuzipiga ndugu, kwa kifupi huu mradi wa ufugaji samaki kwa kutumia vizimba hauna tofauti na ule mradi wa mtoto wa Mseven kule Uganda. Tumepigwa na hatuna la kuwafanyaHivi bilioni ishirini tunazijua?. Imefikia wakati ambao serikali inabidi iwe inatoa mchanganuo wa jinsi ambavyo fedha hizi zinatumika.
Ni kweli, Mama hadi leo hii ameshindwa kumfuta kazi Waziri Mashimba Ndaki kwa kuhujumu mikopo yetu ya ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba hapa Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na vijana ambao wamepata mafunzo ya ufugaji samaki katika vizimba akiwa katika ziara yake aliyoifanya Wilayani Buchosa, Mkoani Mwanza amesema fedha zilizotolewa ni fursa kubwa kwa vijana kujipatia ajira na kuondokana na kutegemea uvuvi wa asili ambao uzalishaji wake ni mdogo
Mradi huo wa vizimba vya Samaki utazalisha tani elfu Arobaini (40,000) za samaki ambazo zitaongeza uzalishaji kwa sababu mahitaji ya samaki ni makubwa sana.
Katika hatua nyingine, Waziri Ulega alisema mwaka huu pia Serikali itawakopesha wavuvi nchini kote boti za kisasa zaidi ya 150 ili waweze kuboresha shughuli zao na kuongeza uzalishaji wa samaki. Boti hizo zitafungamanishwa na teknolojia za kisasa zitakazomsaidia mvuvi kurahisisha shughuli za uvuvi.
Hatimaye nyinyi WABABAISHAJI mumetupwa nje, afadhali tupumue sasaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria.