Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Aug 30, 2025 #1 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 31, 2025 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Aug 31, 2025 #3 Hiki ndio anacho weza TU. Na wapigaji wanajua ilo kuhusu YY.wacha wale nchi tu KAZI ni kipimo cha utu
Hiki ndio anacho weza TU. Na wapigaji wanajua ilo kuhusu YY.wacha wale nchi tu KAZI ni kipimo cha utu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Aug 31, 2025 #4 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Ila kwahilo wamemsema dah!
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Aug 31, 2025 #5 Kiazi kwelikweli hiki!
Wauzaji wa Container Tz JF-Expert Member Joined Apr 5, 2020 Posts 2,224 Reaction score 4,092 Aug 31, 2025 #6 Nzuri
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 3,087 Reaction score 6,024 Aug 31, 2025 #7 Just imagine unalipwa elf kumi ili uende kwenye mkutano kusikiliza 🤣🤣 na dom maisha makali ivo waache
Just imagine unalipwa elf kumi ili uende kwenye mkutano kusikiliza 🤣🤣 na dom maisha makali ivo waache