Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden

Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Ingrid Johansson, Balozi Mteule wa Sweden hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
IMG-20261013-WA0141.jpg
IMG-20261013-WA0143.jpg
IMG-20261013-WA0136.jpg
IMG-20261013-WA0147.jpg
 
Haya sasa ICC iko wapi?
Kwanza juzi hivi ndio trump alivyosema

1791908349838.png
 
Back
Top Bottom