benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, na kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi nchini Kenya Mhe. Isatu A. Bandu, Ikulu ndogo Zanzibar tarehe 24 Julai, 2023.
Pakistan na Tanzania wana mpango wa kuendeleza ushirikiano katika masuala mengi ikiwemo diplomasia, teknolojia pamoja na majeshi huku Tanzania na Sierra Leone zikilenga kuimarisha masuala ya Biashara na Uwekezaji.