Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

Kwa sauti ya mwendazake. Maji ya kumwagia ndege siku inayopokelewa yapo kwa wingi lakini ya kuzimia moto hakuna.
Namna hayo magari ya fire yanavyorusha maji juu siku za kupokea ndege, yangefanya hivyo na pale Kariakoo, hakika wangeudhibiti moto kwa muda mfupi...
 
Wakati wa Magufuli, watu walikandya ununuzi wa ndege lakini cha kushangaa leo hadi usku huu tunasifia kupokea Bombandier na kusema ni ushuja.

Swali hivi nikwanini waliokuwa wanakandya yaliyofanyika kipindi kila inagwa hayohayo yanafanyika sasa wanasifia?

Kumbe kama mwananchi na kiongzoi fanya unayoona yanamaana kwani watu unaweza kusakiliza lakini kesho haohao wakakunanga kwa kuchukua ushauri wao
 
Kwa sauti ya mwendazake. Maji ya kumwagia ndege siku inayopokelewa yapo kwa wingi lakini ya kuzimia moto hakuna.
Hahah...

Jamaa huwa wanafungua wapo vizuri sana kwenye kuzichapa ndege maji...

Mimaji inaruka juu haswa, wakati siku ile pale K'koo ilichukua muda kweli kuweza kurusha maji kupitia ule uwazi wa juu wa soko
 
Ila sijui kwanini hatujifunzi? Kulikuwa na ulazima gani Rais kwenda ndani ya ndege? Hawa wazungu sio wa kuwaamini sana
 
Mleta mada, elewa hizi ni miongoni mwa ndege zile zile (11) alizonunua Magufuli.

Hao unaowashangaa ni wapokeaji tu.
"Mwali ni mwali tu...inabidi mzazi ampokee kwa vigelegele hata kama hamtaki".
 
Back
Top Bottom