Hata Chadema wameanza kuona maridhiano yao na ccm nchi inaelekea kusiko
 

Attachments

  • FD9DB2FC-19BC-4553-A599-19111BFCA04B.jpeg
    77.2 KB · Views: 5
Kauli zilitolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM uliopita. Nukuu zilitolewa kuhusu viongozi wazuri kutokufa, huku wake wa wale waliotangulia mbele za haki wakiwemo mkutanoni na kuzishuhudia.

Kauli iliwekwa sawa kuwa Mzee karopoka kwa kuwa alikuwa na mhemuko. Kauli nyingine ilitolewa na Mzee mwingine tena, Mama tunaye mwaka 2025, labda litokee jambo kubwa sana!?

Another one term president!? Jambo kubwa!? Linapaswa kutokea ili kiongozi Mkuu aonekane dhaifu,?

Kweli ukitaka kumuua kobe ni lazima ufanyie "timing" naona wana mtandao wakizidi kusukuma kete zao vyema.
 
Hivi ripoti iliyopita ilifanyiwa kazi au ipo kabatini kama zilizopita?

Tunajadili nini kama haziwaumi watawwla wenye kuweza kuchukua hatua?

Tusubiri Mungu aimalize CCM kabisa ndo tutakuwa na mwanzo mpya.
 
Angalia walivyopiga pesa.ila kwakuwa watanzania hamjali hata Mimi nikipata nafasi nitapiga pesa[emoji23][emoji23]
 
Angalia walivyopiga pesa.ila kwakuwa watanzania hamjali hata Mimi nikipata nafasi nitapiga pesa[emoji23][emoji23]View attachment 2582662
Ripoti ya mwisho ya CAG ni ya ubadhirifu ambao viongozi (Menejimenti na Bodi; Wakurugenzi wa Halmashauri, Mawaziri na Makatibu Wakuu) walishindwa kutoa majibu. Halafu Rais anawapa nafasi ya ati kuchunguza wahusika? Wafutwe kazi na TAKUKURU/Polisi wafanye kazi yao ili wasitafute watu wa kuwatwisha uchafu huo au kuficha ukweli.
 
Umeshaambiwa mtu anadai halafu hajui anayemdai mzee...!

IMEISHA HIYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…