Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Hizo report chafu dawa yake ni ndogo sana.

1. Kunyongwa mafisadi kwa kamba ngumu.

2. Kukatwa shingo kwa jambia

3. Kupigwa risasi kwenye ubongo wenye maambukizi ya wizi.

Hakuna cha plea bargain wala nini.

Report zitakuja safi bila shida.

Uchafu hauondolewi kwa mipasho.
 
Siyo Mbarawa tu

Maderu, na yule aliyempandisha cheo kuwa gavana wa BOT

Walilipaje bila kuhoji ongezeko?
20230221_213746-jpg.2525558

Zilitoka hint llakini watu hawaelewi,
Watu wanapiga misosi kishenzi, mama anasituka anakuta ni watu wake mwenyewe.
 
Aiseee. Ni hatari mno. Watu wanajilia kama mchwa tu. Ngoja nipambane na maisha Tu maana kila mahali ni hovyo hivyo Tu. Mh. Rais tumbua hizo taasisi unda upya kabisa. Yaani wafanyakazi wote ondoa unda upya. Mfano huko Bima ya Afya NHIF kumeoza.

Kuna maofisa kila mwezi wanakusanya milioni kadhaa kutoka kwenye malipo yanayolipwa kwenye hizo hospital wakishirikiana na finance units za hospital. Kifupi ni bomba Fulani la kula NHIF. Na CAG amesema waliohudika na wizi huo hawajachukuliwa hatua yoyote Sasa wameamua kuwaua wananchi kwa Bima za vifurushi. Usalama wa Taifa mko wapi?
 
20230221_213746-jpg.2525558

Zilitoka hint llakini watu hawaelewi,
Watu wanapiga misosi kishenzi, mama anasituka anakuta ni watu wake mwenyewe.
Dah!

Nimepitia huo UZI mkuu

Nimetoka kapa, nini tena?
 
Halima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi.

Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu.

Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote.

Ramadan kareem!
 
Binafsi ninaona wazi kwamba watanzania wengi sio wazalendo hasa ikiwa tunamkubali sana kiongozi wa chini.

Laiti kama ingekuwa matumizi haya mabaya fedha za umma, yamemlenga moja kwa moja mtu fulani tusiyempenda, ungeona maoni kila mahali. Badala yake sasa, watu wanatafuta nani wa kumtupia lawama ili kuisafisha serikali kuu.

Ukweli ni kwamba, kwenye serikali kuu kuna kitu hakiko sawa mahali. Haiwezekani kulalamika kama kwamba hakuna mamlaka ya kuzuia hali hiyo isiendelee. Kila mahali ni ufisadi.

Tunaposema inaonekana ni majungu. Miradi mingi ya serikali imejaa ufisadi na ubadhilifu. Huo ndio ukweli
 
Halima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi

Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu

Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote

Ramadan kareem!
Unategemea bunge lipi hilo , la Ghana au la Tulia (rubber stamp).
 
Halima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi

Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu

Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote

Ramadan kareem!
Sanaa tu hizo msee.., tunaumia sis tu ambao tupo nje ya upigaji. Lakin kama upo kwa gov't kitengo chochote wew angalia nn kinakufaa.., hata kama ni kiti we piga tu ha ha haaaaa
 
Guys, ukipata nafasi ya kupiga pesa za serikali basi hakikisha unazipiga kisawa sawa hadi uwekwe kwenye vitabu vya kumbukumbu.
 
Kuwa
Halima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi

Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu

Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote

Ramadan kareem!
Kuwalipa mishahara na posho wabunge wasiokuwa na chama ni ufisadi kama ufisadi mwingine tu.
 
Ifike mahali sasa Mamlaka ichukue hatua kuhusu madudu haya. Yale ya kuwaonba wahusika kuacha wanayoyafanya hayasaidii sana. Inatakiwa waachie ngazi na wachunguzwe ili kubaini kama wamefanya hayo wanayotuhumiwa. Ikithibitishwa kwamba wamehusika basi sheria itumike kuwapa adhabu watakayostahiki. Ila angalizo kwa hilo. Hawa watu tayari wana ukwasi wa kutisha. Kama Takukuru walivyoeleza katika ripoti yao, baadhi ya watuhumiwa hushinda kesi. Nina wasiwasi na hilo. Yawezekana kuna kitu nyuma ya ushindi huo.
 
Mama Samia. Umepokea riporti ya CAG ukaanika baadhi ya madudu serikalini. Sawa. Umeamua kuwa wazi. Wananchi wanaangalia namna vyombo vyako vya utendaji vitakavyotekeleza majukumu yake kuthibiti hali. Lakini suala la uwajibikaji liko chini yako. Vyombo vya serikali visipotekeleza wajibu wake utalaumiwa wewe.
Usipochukua hatua utalaumiwa. Kuwawajibisha wahusika ni wajibu wako. Akishawajibishwa ndio anaenda KUJIBU mashtaka kama yapo.
Kumbuka ulivyofanya kwa Sabaya.
 
Kwa hiyo unataka ripoti ya CAG iwe siri ya siri-kali?!
 
Kufuatia Ripoti ya CAG 2021-2022; Rais Samia inaonyesha hatoshi kugombea urais kupitia ccm 2025.

Iwapo atagombea urais na ikatokea akashinda wanyonge wajiandae kufika 2030 wakiwa hawapati mlo wa siku na wachache watakuwa na fedha kuliko serikali jambo ambalo ni hatari kubwa.

Pia kuna dalili ikifika 2030 nchi haitatawalika.

CCM imtizame huyu mama kwa macho mawili kabla hajawa mgombea wao wa urais 2025.
 
Back
Top Bottom