Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi mchungaji anziogopa mbuzi anazochungaDaaah alafu wanyonge hawajui hata wanataka nini na wafanye nini.
Mashamba yanaliwa wapogo tu!
Siyo Mbarawa tu
Maderu, na yule aliyempandisha cheo kuwa gavana wa BOT
Walilipaje bila kuhoji ongezeko?
Dah!![]()
Zilitoka hint llakini watu hawaelewi,
Watu wanapiga misosi kishenzi, mama anasituka anakuta ni watu wake mwenyewe.
Uwekezaji Mwenge, naota tu!
Kivuko sintofahamu! Uwekezaji Mwenge! Mtaa huo unavituko, hata kinara wa zamani kujenga naye kawekeza hapo Kebbys. Lakini naota tu!www.jamiiforums.com
Unategemea bunge lipi hilo , la Ghana au la Tulia (rubber stamp).Halima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi
Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu
Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote
Ramadan kareem!
Sanaa tu hizo msee.., tunaumia sis tu ambao tupo nje ya upigaji. Lakin kama upo kwa gov't kitengo chochote wew angalia nn kinakufaa.., hata kama ni kiti we piga tu ha ha haaaaaHalima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi
Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu
Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote
Ramadan kareem!
Kuwalipa mishahara na posho wabunge wasiokuwa na chama ni ufisadi kama ufisadi mwingine tu.Halima Mdee na Jerry Slaa ndio Wenyeviti wa Kamati za Bunge za masuala ya Fedha wakituwakilisha Wananchi
Jana viongozi hawa Wawili walionyesha kuumizwa na Wizi mkubwa wa Fedha za Umma huko Serikalini na kuna wakati Mdee alikuwa anajifuta machozi kwa uchungu
Hivyo basi tunategemea Ripoti Hii ikiingia bungeni mwezi ujao mtatutendea Haki Wananchi kwa kuwasulubisha Wezi wote
Ramadan kareem!
Kwa hiyo unataka ripoti ya CAG iwe siri ya siri-kali?!Mama Samia. Umepokea riporti ya CAG ukaanika baadhi ya madudu serikalini. Sawa. Umeamua kuwa wazi. Wananchi wanaangalia namna vyombo vyako vya utendaji vitakavyotekeleza majukumu yake kuthibiti hali. Lakini suala la uwajibikaji liko chini yako. Vyombo vya serikali visipotekeleza wajibu wake utalaumiwa wewe.
Usipochukua hatua utalaumiwa. Kuwawajibisha wahusika ni wajibu wako. Akishawajibishwa ndio anaenda KUJIBU mashtaka kama yapo.
Kumbuka ulivyofanya kwa Sabaya.