Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Katiba mpya na demokrasia ya Mzungu itawaondoa hawa wezi...Mama tupe katiba mpya na demokrasia ya Nzungu wezi wataisha.
 
Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.

Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Ngozi nyeusi inahitaji Roho kama ya mwamba, mama naleta roho ya huruma sana matokeo yake wakurungwa wanalamba asali kumzidi hata mwenye mzinga wake "Stupid".
 
Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.


Taratibu utaelewa tu. Na bado.
headless.jpg
 
Muwe. Mnaacha kuandika nyuzi kama huwezi kuandika the whole story na wewe,stupid !!!😂
 
Hahahaha alikuwa anaongea asichokijua 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom