Rais Samia apokelewa Kifalme China

Rais Samia apokelewa Kifalme China

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida. Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China. Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote; huku Waarabu, huku Marekani, huku China. Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.

 
At the end safari za namna hii tumeziona nyingi Tu Toka kuasisiwa kwa vyama vingi ila hazina direct impact yoyote kwa Mtanzania, sanasana hizo Hela zinatumika kama running cost ya uendeshaji wa shughuli za Kila siku za Serikali, am here eating my 🍿
Amadala Daldal
 
Yale yale ya membe kupokelewa na farasi wanaomomota kiti kule uingereza. Hawa wana agenda yao wanakufanya ujione important ili wakikuletea deal uone soo kuikataa.
 
Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji, acheni nchi ifunguke, hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa.
 
Mwambien bi mkubwa hatuna maji na tuna water bodies kama zote tuna bahari, mito na maziwa lakini tuna shida ya maji.
 
Back
Top Bottom