Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na tuna water bodies kama zote tuna bahari mito, maziwa lakini tunalalamika maji na umemeIkifikia hapo ndio najiuliza hawa wazee walikuwa wanaongoza kitu gani toka uhuru hadi sasa bado tunaangaika maji.. aibu sana.
Rais Samia apokelewa Kifalme China, na wachina watakuja bongo kuwekeza na kuchapa wabongo viboko.Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.
Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.
Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote
Huku Waarabu
Huku Marekani
Huku China.
Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.
View attachment 2405345
Aibu viongozi wetu wanatukosea sana.na tuna water bodies kama zote tuna bahari mito, maziwa lakini tunalalamika maji na umeme
Chief Mangungo wa Msovero Treaty is on the way[emoji24]Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.
Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.
Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote
Huku Waarabu
Huku Marekani
Huku China.
Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.
View attachment 2405345
Msafara una VX mbili tu halafu zote za kichinaHaya mapokezi kutoka China si ya kawaida.
Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.
Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote
Huku Waarabu
Huku Marekani
Huku China.
Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.
View attachment 2405345
Kweli, sisi ndio chakula chao tunaandaliwa haswa!Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji , acheni nchi ifunguke ,Hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa
Kujiona kujua meng mpaka kufikia kutimbanya.kipi kwa mfano watachosema au kuku propose kitakua kibaya? Mchina ana win win situation. BRI imeleta mageuz makubwa ya kiuchum iweje wewe uone kibaya? Utak sisi wa hapa fukayos maeneo yetu yapande thaman? Mim naona wakitaka kujenga hio bandali wajenge hata kumi sis tunataka mae deleo fuil stopYale yale ya membe kupokelewa na farasi wanaomomota kiti kule uingereza.
Hawa wana agenda yao wanakufanya ujione important ili wakikuletea deal uone soo kuikataa
Kwahyo Tz akija biden kwa shughuli zake mwenyewe hapokelewi?Hakuwahi itwa na serikali ya Marekani, yeye alienda mwenyewe kwa shughuli zake
US wanaweza counter kwa kuja wenyewe Tz
Hakuna asiyetaka maendeleo unasema china wana win win situation umesahau walichofanya huko kwingine?Kujiona kujua meng mpaka kufikia kutimbanya.kipi kwa mfano watachosema au kuku propose kitakua kibaya? Mchina ana win win situation. BRI imeleta mageuz makubwa ya kiuchum iweje wewe uone kibaya? Utak sisi wa hapa fukayos maeneo yetu yapande thaman? Mim naona wakitaka kujenga hio bandali wajenge hata kumi sis tunataka mae deleo fuil stop