Rais Samia apokelewa Kifalme China

Rais Samia apokelewa Kifalme China

Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.

Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.

Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote

Huku Waarabu

Huku Marekani

Huku China.

Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.

View attachment 2405345
Nadhani haya mawazo haya ndo yanatufanya tunaogopa hata kufungua mipaka ya EA.

Dubai imeendelea kwa Sababu ilifungua mipaka ya Dunia Nzima

Dubai ilikuwa Soko la kila mtu.

Baadae waliweza kupokea wageni mpk 1000.000 kwa siku.

Kukubalika na Mataifa Tajiri ni Fursa kubwa ya kufanya watu wa Nchi yako kuwa Tajiri pia..
Tatizo ni Akili za watu wenyewe!

Mataifa Mengi Tajiri wakishaona kwamba Nchi inakubalika na wengi basi wanapafanya hapo mahali kuwa nyumbani...tizama Kigali,Tizama Nairobi.

Suala ni Political Stability na Economic Broadway ya Nchi.

Na panapokuwa na wateja wengi inakuwa Rahisi ku bargain...

Tufunguke...

Mfano:

Nitakupa Biashara hii au Mradi huu lakini nataka niuze pamba tani kadhaa

Au Kahawa tani Kadhaa

Au Nyama Tani Kadhaa.

Hiyo ni Milango mizuri sana ya kukuza Uchumi..

Binafsi nampongeza Sana Mh Rais SSH!

Hachoki Mama wawatu!

God Bless you your Excellency!
 
hiyo convoy malipo yake ni hapa hapa duniani, nipo hapa nanjilinji mtakuja kuniambia.
 
Usipo jiuza mapema utauzwa
Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.

Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.

Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote

Huku Waarabu

Huku Marekani

Huku China.

Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.

View attachment 2405345
 
Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.

Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.

Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote

Huku Waarabu

Huku Marekani

Huku China.

Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.

View attachment 2405345
Hapo wachina wamempatia kweli mama, Cio wale Europer walimpakia kwenye basi. SS mama Kwa mapokez haya , bagamoyo port is initiated , mtwara gas is ours, and we give you ciber security, and big loan
 
Sema Samia hajaamini...maana kule USA alifika hakuna aliyekuwa na time naye..China kaona gep kama dem anadanga halafu mabwana wanamchunia basi atakuwa easy ball...Sasa China ni kubatua tu
Ile ya USA ilimuuma sana hadi aliisemea kwa ku compare mapokezi yake na Oman!
 
Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.

Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.

Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote

Huku Waarabu

Huku Marekani

Huku China.

Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.

View attachment 2405345
Walioendelea wanaujua Udhaifu wetu Waafrika. Endeleeni Kujidanganya kuwa mnapendwa nao wakati tunadharaulika kama Kinyesi.
 
Poleni MaCHADEMA nchi imerudi kwenye level za juu ni kweli Tanzania sasa inapiganiwa . Acheni uchawi wenu . Lissu na lema walooolewa huko nje hamuwaoni waambieni warudi waache shika ukuta. Gaidi hoyee!
 
Ukitaka kula kuku mnono we mpatie mchele wa kutosha.
Mda wa kupelekwa kibla tusilalamike
 
Ninachofurahi hiyo ndinga aliyopandishwa mama yetu ipo majini bado kama wiki 2 inifikie,very executive
Ile ajira ya kuuza duka la simu uliyokua unaifukuzia ulifanikiwa kuipata mkuu?
 
wachawi lazima wataharisha damu mwaka huu.
maana nchi sasa inaongozwa vilivyo na kwa viwango vya kimataifa.

waliofikiria eti hawezi sasa wanugua ugonjwa wa moyo.....maana dawa ya wanafiki na wazandaki ni kuchapa kazi kwa bidii na maarifa kama anavyo fanya Rais wetu Mpendwa Mama Samia.

tutaenda na Mama hadi 2030.
 
Kaka angu na hili nalo ukalifanyie kazi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida.

Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China.

Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote

Huku Waarabu

Huku Marekani

Huku China.

Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.

View attachment 2405345
Ukiwa mrembo halafu akili ikawa inakksekana basi maeneo nyeti ndo hulipia gharama ya maumivu yake.....

Madini yetu
Ardhi yetu
Miradi yetu
Maji yetu
 
mwambien bi mkubwa hatuna maji na tuna water bodies kama zote tuna bahari, mito na maziwa lakini tuna shida ya maji
Ikifikia hapo ndio najiuliza hawa wazee walikuwa wanaongoza kitu gani toka uhuru hadi sasa bado tunaangaika maji.. aibu sana.
 
Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji , acheni nchi ifunguke ,Hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa
Mungu ni mwema
Tuna umeme megawati 1700 wakati sisi hitaji letu ni megawati 1400

Tunataka chongo labda😀
 
Back
Top Bottom