Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida. Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China. Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote; huku Waarabu, huku Marekani, huku China. Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.
At the end safari za namna hii tumeziona nyingi Tu Toka kuasisiwa kwa vyama vingi ila hazina direct impact yoyote kwa Mtanzania, sanasana hizo Hela zinatumika kama running cost ya uendeshaji wa shughuli za Kila siku za Serikali, am here eating my 🍿
Amadala Daldal
Yale yale ya membe kupokelewa na farasi wanaomomota kiti kule uingereza. Hawa wana agenda yao wanakufanya ujione important ili wakikuletea deal uone soo kuikataa.
Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji, acheni nchi ifunguke, hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa.
Sema Samia hajaamini, maana kule USA alifika hakuna aliyekuwa na time naye China kaona gep kama dem anadanga halafu mabwana wanamchunia basi atakuwa easy ball. Sasa China ni kubatua tu.