Rais Samia apokelewa Kifalme China

Usione Eti Hao Wanatupenda
By Mzilankende Mnyago
 
Ikifikia hapo ndio najiuliza hawa wazee walikuwa wanaongoza kitu gani toka uhuru hadi sasa bado tunaangaika maji.. aibu sana.
na tuna water bodies kama zote tuna bahari mito, maziwa lakini tunalalamika maji na umeme
 
Na badoooooo , hii kwa wapenzi wa movies inaitwa trailer
 
Rais Samia apokelewa Kifalme China, na wachina watakuja bongo kuwekeza na kuchapa wabongo viboko.
 
Ile ya USA ilimuuma sana hadi aliisemea kwa ku compare mapokezi yake na Oman!
Hakuwahi itwa na serikali ya Marekani, yeye alienda mwenyewe kwa shughuli zake

US wanaweza counter kwa kuja wenyewe Tz
 
Chief Mangungo wa Msovero Treaty is on the way[emoji24]
 
Msafara una VX mbili tu halafu zote za kichina
 
ndio maana Hayati alikuwa haendi huko,anajua kabisa laghai zao ni ngumu sana mtu kuchomoa na ukishajipeleka ni sawa na kuku kuangalia kibra mwenyewe kinachofata ni kisu.!
Pumzika Kwa Amani Hayati JPM, Raisi Wangu Wa Muda Wote Uliyekuwa Mzalendo Namba Moja kwa Nchi Yako.
 
Akipokelewa kikawaida huko nje,hua mnaanzisha thd hapo za kuponda,
Akipokelewa kifalme pia mnaanzisha thd eti wamempokea kifalme ili watupige na kitu kizito!

Tatizo lenu kubwa hamueleweki mnataka nini hasa au mnasimamia lipi! ni vigeugeu msiojua mnasimamia lipi! ni watu ambao tayari kama vile mna fixed mind mentality ya kuponda kila jambo,liwe zuri au liwe baya.
 
Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji , acheni nchi ifunguke ,Hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa
Kweli, sisi ndio chakula chao tunaandaliwa haswa!
 
Pompous display + Cheap politics is all you need to sell a country's resources. They have read your minds.
 
Yale yale ya membe kupokelewa na farasi wanaomomota kiti kule uingereza.
Hawa wana agenda yao wanakufanya ujione important ili wakikuletea deal uone soo kuikataa
Kujiona kujua meng mpaka kufikia kutimbanya.kipi kwa mfano watachosema au kuku propose kitakua kibaya? Mchina ana win win situation. BRI imeleta mageuz makubwa ya kiuchum iweje wewe uone kibaya? Utak sisi wa hapa fukayos maeneo yetu yapande thaman? Mim naona wakitaka kujenga hio bandali wajenge hata kumi sis tunataka mae deleo fuil stop
 
Hakuwahi itwa na serikali ya Marekani, yeye alienda mwenyewe kwa shughuli zake

US wanaweza counter kwa kuja wenyewe Tz
Kwahyo Tz akija biden kwa shughuli zake mwenyewe hapokelewi?
 
Hakuna asiyetaka maendeleo unasema china wana win win situation umesahau walichofanya huko kwingine?
Sisi tunajulikana siku zote tunaingia mikataba ya ya chief mangungu, tunapewa vioo wanachukua almasi
 
Bila katiba kubadilika Hawa Marais wasiotaka kuumiza akili zao kuleta maendeleo ...Usiku kucha ni kuzunguka kuomba misaada tutajikuta Kuna siku amesaini mkataba wa kuuza nchi sisi hatujui.

Hivi siku ikatokea ukaambiwa ondoka hapa nchi ilishauzwa tutafanyaje

Watanzania tuamke. Mtu mmoja asibebe dhamana ya nchi ni hatari sana.
 
hivi hii yote inasaidia kuondoa mgao wa maji na umeme? nauliza tu lakini samahani kama nimewakwaza waungwana na wakulungwa
 
Mama ajitahidi kufanya mazoezi kidogo ya viungo na jogging kidogo. Naona amenenepa
Hii ni kwa afya yake mwenyewe naona anatembea kwa tabu......
ama naongea uongo ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…