Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani.
=======
Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu najua waziri mshabiki wa Liverpool alikuwa pale na alikuwa kanuna, nikauliza kwanini huyu kanuna, nikaambiwa timu yake imefungwa.
Kutumia lile daraja, wakaonesha na tukaonekana ulimwengu mzima ile ni jitihada kubwa na wameonesha kwamba Tanzania tuna vivutio vinavyoweza kutumika hivyo na ni ubunifu mkubwa kwa wizara kwa kufikiria ile kampuni iliyoshinda tenda ya kutangaza inaweza ikalitumia lile daraja.
Pia, soma=> Daraja la Tanzanite kuonesha mechi mbashara usiku wa Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya
Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?