Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu najua waziri mshabiki wa Liverpool alikuwa pale na alikuwa kanuna, nikauliza kwanini huyu kanuna, nikaambiwa timu yake imefungwa.
Kutumia lile daraja, wakaonesha na tukaonekana ulimwengu mzima ile ni jitihada kubwa na wameonesha kwamba Tanzania tuna vivutio vinavyoweza kutumika hivyo na ni ubunifu mkubwa kwa wizara kwa kufikiria ile kampuni iliyoshinda tenda ya kutangaza inaweza ikalitumia lile daraja.
Records zinaonyesha mama alipata kufanya kazi nje ya nchi, sasa kama kweli, kitu gani kimemfanya abadilike na kuwa na kaushamba kama mkulia wa Burigi?
Mambo za hivyo ni za watu wa huko bana!
Records zinaonyesha mama alipata kufanya kazi nje ya nchi, sasa kama kweli, kitu gani kimemfanya abadilike na kuwa na kaushamba kama mkulia wa Burigi?
Mambo za hivyo ni za watu wa huko bana!
Ndiyo maana kasifia ubunifu kwa hapa kwetu! Yaani kayaona nje na kuona nchini ni furaha kwake. Elewa haraka basi. Pia angalia diction yako unapomjadili Rais.πππ