Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
Tena anaweza kutumia uwezo wake huo wa lugha yake tamu kwenye masikio ya wafadhili kuwashawishi wampe fungu ajenge daraja la kuunganisha bara na Zenj (Tanga na Pemba) litaloitwa Samia Suluhu Hassan Muungano Bridge hii ndiyo itakuwa unique legacy yake isiyofutika.

Taswira kwa hisani ya Google.
 
Hii nimeipenda sana,

Mungu atafanya iko Siku
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Safi sana hii
 
ID za kimkakati sasa ndo hizi zenyewe kutwa kusifia humu
kuanzia asbh mpaka asbh ya kesho yake ni

Mama
Mama
Mama
Mama
Mmama
Mmaaaaa
khaaaaaaaaa!!
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
ID za kimkakati sasa ndo hizi zenyewe kutwa kusifia humu
kuanzia asbh mpaka asbh ya kesho yake ni

Mama
Mama
Mama
Mama
Mmama
Mmaaaaa
khaaaaaaaaa!!
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Asante kwa kumpa ukweli huyu kila akiletabuzinhapa wa kupambia anashindwa kufikiria!
Kwani pesa ya t oka mfukoni au kwa paycheck yake!?
Angesema waTanzania wameweza kufanya hili kwa kodi zao akisimamia.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Chadema haihusiki hapa,serikali inatekeleza majukumu yake,hata ingekuwa serikali ya act wazalendo,chadema,chauma n.k ingefanya hayo hayo.
Watanzania wameshafunguka.Ukitaka kufahamu hilo ipatikane tume huru ya uchaguzi.
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Kwakweli Mama anajicho la huruma!
Kuna mahali alinifaa.Mungu amjaalie afya njema.
 
Kwa hiyo Mwenda zake alipigaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…