ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
😍😍Kada kichaa pamoja sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍Kada kichaa pamoja sana
TrueChadema ilishakufa,
Mama, mamaID za kimkakati sasa ndo hizi zenyewe kutwa kusifia humu
kuanzia asbh mpaka asbh ya kesho yake ni
Mama
Mama
Mama
Mama
Mmama
Mmaaaaa
khaaaaaaaaa!!
Hahaha tatizo liko wapi?Jamii forum muweke kale ka kumblock mtu.uyu anamsifia mama mpaka anakera sasa.nyuzi zaidi ya 5 how????
Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis
" Hakuna kama Samia "
Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,
Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,
Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.
Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|
Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,
View attachment 1951660
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1951753
=================================
Relief as dialysis costs set to come down 66 percent
FRIDAY SEPTEMBER 24 2021
Summary
This is after the govt decided to buy the dialysis machines directly from manufacturers
Dar es Salaam.
________________
Come January 2022,
costs of dialysis will come down by 66 percent to Sh100,000 after the government started procuring machines directly from manufacturers.
Currently, a session of dialysis costs between Sh230,000 and Sh300,000.
The government says fixing of the new machines supplied directly by manufacturers for a price that is 47 percent cheaper has started at some of the hospitals across the country, specifically on Mafia Island in Coast Region and Rubia in Kagera Region.
Speaking yesterday, Medical Stores Department’s (MSD) director general Gabriel Mhidize said hospitals that will be receive first instalments include Muhimbili in Dar es Salaam, Udom in Dodoma, Seketure in Mwanza, Chato in Geita Region, Temeke, Amana and Mwananyamala of Dar es Salaam and Tumbi of Coast Region.
“Dialysis procedures are very expensive in Tanzania making it hard for an ordinary citizen to afford,” he said.
Dialysis is the process of removing excess water, solutes, and toxins from the blood in people whose kidneys can no longer perform these functions naturally.
Dr Mhidize said, “We will start with the price of Sh100,000 a session, however it might go lower in future.”
He said by buying machine directly from manufacturers the government has saved nearly Sh18 billion annually.
He said MSD has also started to procure machines and medical equipment at a price of 50 to 100 percent cheaper.
“That is the direction that the National Health Insurance Fund (NHIF) and MSD are taking--cost cutting. For instance, a machine that was sold Sh57 million is now bought at Sh25 million; same for a Sh27 million equipment now is Sh14 million,” he said.
He added: “A machine once sold at Sh14 million now is Sh7 million, while that of Sh7 million is sold at Sh2 million.”
Health minister Dorothy Gwajima said the purchase of the machines was part of the plan to improve health services and infrastructure in the country, a move that needs to go hand in hand with the building of pharmaceutical industries.
“Availability of machines at all hospitals across the country would reduce service costs and save patients money, because there will be no necessity to travel a long distance for the service,” she said
_________________________________________
Hakuna kama Samia, Watoto wa masikini tumeokolewa na kifo,
HahahahaJamii forum muweke kale ka kumblock mtu.uyu anamsifia mama mpaka anakera sasa.nyuzi zaidi ya 5 how????
Tena liwe la kulipia litakua poa sana ukiunga tanga na Zanzibar itakuza utalii sana kutokea kaskazini kwenda visiwani. Iwe PPP wajenge wakusanye hela yao . Itakuza sana utaliiHii nimeipenda sana,
Mungu atafanya iko Siku
ndio
Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis
" Hakuna kama Samia "
Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,
Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,
Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.
Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|
Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,
View attachment 1951660
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
"Stahimilivi na tulivu"Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu
Unafahamu maana ya propaganda? Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.www.jamiiforums.com
Nzuri hiiTena liwe la kulipia litakua poa sana ukiunga tanga na Zanzibar itakuza utalii sana kutokea kaskazini kwenda visiwani. Iwe PPP wajenge wakusanye hela yao . Itakuza sana utalii
HapanaKwa hiyo Mwenda zake alipiga😂😂😂
Hakuna hiyo kazi iendeleeyJamii forum muweke kale ka kumblock mtu.uyu anamsifia mama mpaka anakera sasa.nyuzi zaidi ya 5 how????
KhaaaTena liwe la kulipia litakua poa sana ukiunga tanga na Zanzibar itakuza utalii sana kutokea kaskazini kwenda visiwani. Iwe PPP wajenge wakusanye hela yao . Itakuza sana utalii
Hivi ni vibwagizo kweli?Dah Hivi vibwagizo haviishi tu?
KhaaaJamii forum muweke kale ka kumblock mtu.uyu anamsifia mama mpaka anakera sasa.nyuzi zaidi ya 5 how????
Leo najisikia kufurahi na wanaomuunga mkono Rais Samia Suluhu,Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis