Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Jamii forum muweke kale ka kumblock mtu.uyu anamsifia mama mpaka anakera sasa.nyuzi zaidi ya 5 how????
 
#RAIS MWENYE HURUMA KWA WATU WAKE,

View attachment 1951754
Hakuna kama Samia, Watoto wa masikini tumeokolewa na kifo,
 
Hii nimeipenda sana,

Mungu atafanya iko Siku
Tena liwe la kulipia litakua poa sana ukiunga tanga na Zanzibar itakuza utalii sana kutokea kaskazini kwenda visiwani. Iwe PPP wajenge wakusanye hela yao . Itakuza sana utalii
 
Tena liwe la kulipia litakua poa sana ukiunga tanga na Zanzibar itakuza utalii sana kutokea kaskazini kwenda visiwani. Iwe PPP wajenge wakusanye hela yao . Itakuza sana utalii
Nzuri hii
 
Leo najisikia kufurahi na wanaomuunga mkono Rais Samia Suluhu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…