Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Tunalikumbuka sababu yakumshukuru Rais Samia,
 
Suluhisho ni bima ya afya kwa kila mtanzania hapo ndio ntaamini hangaya bado hajachoka anazipiga ndefu ndefu ...auze hata mabombadia ma tano tupate bima mzigo auweke nssf
Inakuja very soon mkuu usiteseke kabisa
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Mkuu mbona na Almight ni ID yako

Una shida gani

Inabidi ID ziunganishwe iwe moja

Nakureport kwa Moderators wakuunganishe iwe ID moja
 
Iwe kweli hiyo Jan 2022 ,mambo ya propaganda na mapambio yalishaisha hatutaki myarudishe hii awamu ya 6 kazi iendelee.
 
Suluhisho ni bima ya afya kwa kila mtanzania hapo ndio ntaamini hangaya bado hajachoka anazipiga ndefu ndefu ...auze hata mabombadia ma tano tupate bima mzigo auweke nssf
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…