CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #281
GoodTanzania voted 2021 Africa leading travel destination ahead of South Africa, Nigeria, Rwanda and Egypt
Read the latest news across entertainment, sports, business and moreafrica.businessinsider.com
Kwani unamalalamiko toka kokote?Hili suala la bei za matibabu ya figo na bei za mashine za kusafisha figo Mleta Uzi tunaomba ututhibitishie watu Hizo bei watanzania tuna matatizo hayo ya Figo haya mambo ya kutuwekea ma BOQ kama alivyokuwa anafanya yule nyang'au jiwe mtamdhalalisha sana HUYU mama wa watu. Watu tunataka Tiba
za Figo za uhakika nchi nzima.
MSDRais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis
" Hakuna kama Samia "
Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,
Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,
Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.
Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|
Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,
View attachment 1951660
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Ndiyo ninamalalamiko (1) kutoka kwa wagonjwa waliolazwa Toka mikoani wapo hapa DSM wanalalamika kuwa mikoa YOTE ya tz wamelundikana DSM huko mikoani walikotoka hàkuna huduma Hii ya diolysisiKwani unamalalamiko toka kokote?
hakikaNi kazi nzuri
Nivile hujui Siasa wewe,Na wewe umeshakuwa rimbukeni tu kila mda mama mama! Mwambie ukunyonyeshe! Halafu ameahidi ndo unakuja kuleta umbea hapa!
Wasiompenda Rais ni wale wachawi na wenye roho za aina ile,Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis
" Hakuna kama Samia "
Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,
Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,
Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.
Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|
Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Kumbe 😀😀😀Na wewe umeshakuwa rimbukeni tu kila mda mama mama! Mwambie ukunyonyeshe! Halafu ameahidi ndo unakuja kuleta umbea hapa!
Ni usanii mtupu!!! Tunataka dawa mahospitalini!!! hizi zingine ni geresha!!
Hizi ni geresha za MSD ili kuwabrainwash watanzania kutokana na uhaba wa dawa uliokithiriNdiyo ninamalalamiko (1) kutoka kwa wagonjwa waliolazwa Toka mikoani wapo hapa DSM wanalalamika kuwa mikoa YOTE ya tz wamelundikana DSM huko mikoani walikotoka hàkuna huduma Hii ya diolysisi
(2 ) hizo bei za mashine ulizosema wanauliza mashine hizo zinapatikana wapi Ili wanunue warudi Nazo mikoani kwào
(3)wanalalamika je kweli Kuna bei yà mashine ya milIoNi mbili kweli yaani wewe umeleta taharuki kwa wagonjwa tunaowadumia Leo tunaonekana kama hatuwajàli.kutafuta urahisi wa Tiba yao.
Inasikitisha sana msd wanavyochezea akili zà watu kwenye uhai wa mtu,msd mjitokeze mkanushe hizo HABARI kabla hatujawaweka kwenye taasisi la mauaji ya kimbari.Hizi ni geresha za MSD ili kuwabrainwash watanzania kutokana na uhaba wa dawa uliokithiri
Nimewasilisha hoja yako mkuu,Ndiyo ninamalalamiko (1) kutoka kwa wagonjwa waliolazwa Toka mikoani wapo hapa DSM wanalalamika kuwa mikoa YOTE ya tz wamelundikana DSM huko mikoani walikotoka hàkuna huduma Hii ya diolysisi
(2 ) hizo bei za mashine ulizosema wanauliza mashine hizo zinapatikana wapi Ili wanunue warudi Nazo mikoani kwào
(3)wanalalamika je kweli Kuna bei yà mashine ya milIoNi mbili kweli yaani wewe umeleta taharuki kwa wagonjwa tunaowadumia Leo tunaonekana kama hatuwajàli.kutafuta urahisi wa Tiba yao.
Nchi ngumu mno hii, Tufanyeni kazi kwa bidii tu,Hizi ni geresha za MSD ili kuwabrainwash watanzania kutokana na uhaba wa dawa uliokithiri
SanaaaNi kazi nzuri
Nice work CM 1774858Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis
===
Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,
Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,
Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.
Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|
Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
let's move crdeNice work CM 1774858
Sawa mkuuNi usanii mtupu!!! Tunataka dawa mahospitalini!!! hizi zingine ni geresha!!