Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Hili suala la bei za matibabu ya figo na bei za mashine za kusafisha figo Mleta Uzi tunaomba ututhibitishie watu Hizo bei watanzania tuna matatizo hayo ya Figo haya mambo ya kutuwekea ma BOQ kama alivyokuwa anafanya yule nyang'au jiwe mtamdhalalisha sana HUYU mama wa watu. Watu tunataka Tiba
za Figo za uhakika nchi nzima.
 
Kwani unamalalamiko toka kokote?
 
Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis​

" Hakuna kama Samia "​

Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,

Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,

Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.

Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|

Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,

View attachment 1951660
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
MSD
 
Kwani unamalalamiko toka kokote?
Ndiyo ninamalalamiko (1) kutoka kwa wagonjwa waliolazwa Toka mikoani wapo hapa DSM wanalalamika kuwa mikoa YOTE ya tz wamelundikana DSM huko mikoani walikotoka hàkuna huduma Hii ya diolysisi
(2 ) hizo bei za mashine ulizosema wanauliza mashine hizo zinapatikana wapi Ili wanunue warudi Nazo mikoani kwào
(3)wanalalamika je kweli Kuna bei yà mashine ya milIoNi mbili kweli yaani wewe umeleta taharuki kwa wagonjwa tunaowadumia Leo tunaonekana kama hatuwajàli.kutafuta urahisi wa Tiba yao.
 
Wasiompenda Rais ni wale wachawi na wenye roho za aina ile,
 
Sio tuu kwenye Figo bali na sekta zingine.

Ona hapa👇

Screenshot_20220124-211606.png

Screenshot_20220126-113813.png

Screenshot_20220126-113838.png
 
Ndiyo ninamalalamiko (1) kutoka kwa wagonjwa waliolazwa Toka mikoani wapo hapa DSM wanalalamika kuwa mikoa YOTE ya tz wamelundikana DSM huko mikoani walikotoka hàkuna huduma Hii ya diolysisi
(2 ) hizo bei za mashine ulizosema wanauliza mashine hizo zinapatikana wapi Ili wanunue warudi Nazo mikoani kwào
(3)wanalalamika je kweli Kuna bei yà mashine ya milIoNi mbili kweli yaani wewe umeleta taharuki kwa wagonjwa tunaowadumia Leo tunaonekana kama hatuwajàli.kutafuta urahisi wa Tiba yao.
Hizi ni geresha za MSD ili kuwabrainwash watanzania kutokana na uhaba wa dawa uliokithiri
 
Inasikitisha sana msd wanavyochezea akili zà watu kwenye uhai wa mtu,msd mjitokeze mkanushe hizo HABARI kabla hatujawaweka kwenye taasisi la mauaji ya kimbari.
 
Ndiyo ninamalalamiko (1) kutoka kwa wagonjwa waliolazwa Toka mikoani wapo hapa DSM wanalalamika kuwa mikoa YOTE ya tz wamelundikana DSM huko mikoani walikotoka hàkuna huduma Hii ya diolysisi
(2 ) hizo bei za mashine ulizosema wanauliza mashine hizo zinapatikana wapi Ili wanunue warudi Nazo mikoani kwào
(3)wanalalamika je kweli Kuna bei yà mashine ya milIoNi mbili kweli yaani wewe umeleta taharuki kwa wagonjwa tunaowadumia Leo tunaonekana kama hatuwajàli.kutafuta urahisi wa Tiba yao.
Nimewasilisha hoja yako mkuu,
 
Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis​

===

Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,

Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo ( dialysis) kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha mambo haya,

Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 za dialysis kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama.

Rais Samai amegundua hivi,mashine iliyonunuliwa kwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu |Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize|

Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya vifo 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania vilitokana na matatizo ya figo hakika Rais Samia ubarikiwe,

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Nice work CM 1774858
 
Back
Top Bottom