Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika .katika kuhakikisha watanzania wanautumia kusafiri na kusafirisha mizigo yao kwa uharaka na kwa usalama.
Ambapo mpaka hivi sasa takribani watu millioni moja wamesafiri kwa kutumia usafiri huo tulivu na salama kabisa usio na bughudha .ambapo ukiwa ndani yake unahisi uko ulaya au angani. Rais wetu kipenzi ambaye hivi majuzi Ametoka kuhudhuria mkutano wa G20 Nchini Brazil na kukonga mioyo ya viongozi wengi wakubwa wa Nchi za Magharibi na Marekani.
Ameweza kusafiri na kutua katika kituo cha Jakaya Mrisho Kikwete Mjini Morogoro.Ambapo Rais wetu Mpendwa ameonekana akiwa mwenye bashasha ,furaha na tabasamu kubwa sana katika paji la uso wake huku akiwapungia watu mkono kama ishara ya kuwasalimia na kuwajulia hali .
Jambo ambalo limekuwa la kawaida kwa kipenzi chetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwasalimu na kusalimiana na watu kila anapofika na kukuta watu.hii ni kutokana na tabia yake ya unyenyekevu,ukarimu ,ucheshi na kuchangamana na watu tofauti tofauti bila kumbagua mtu au kumpita mtu
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.