Rais Samia asafiri kwa Treni Dar es salaam Hadi Morogoro

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika .katika kuhakikisha watanzania wanautumia kusafiri na kusafirisha mizigo yao kwa uharaka na kwa usalama.

Ambapo mpaka hivi sasa takribani watu millioni moja wamesafiri kwa kutumia usafiri huo tulivu na salama kabisa usio na bughudha .ambapo ukiwa ndani yake unahisi uko ulaya au angani. Rais wetu kipenzi ambaye hivi majuzi Ametoka kuhudhuria mkutano wa G20 Nchini Brazil na kukonga mioyo ya viongozi wengi wakubwa wa Nchi za Magharibi na Marekani.

Ameweza kusafiri na kutua katika kituo cha Jakaya Mrisho Kikwete Mjini Morogoro.Ambapo Rais wetu Mpendwa ameonekana akiwa mwenye bashasha ,furaha na tabasamu kubwa sana katika paji la uso wake huku akiwapungia watu mkono kama ishara ya kuwasalimia na kuwajulia hali .

Jambo ambalo limekuwa la kawaida kwa kipenzi chetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwasalimu na kusalimiana na watu kila anapofika na kukuta watu.hii ni kutokana na tabia yake ya unyenyekevu,ukarimu ,ucheshi na kuchangamana na watu tofauti tofauti bila kumbagua mtu au kumpita mtuView attachment 3159845

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hbari ni nini hapa?
Raisi keshawahi kusafiri na hiyo train so hakuna jambo la kushangaza wala jipya hapa
 
Unajaza wasanii kwenye dreamliner kwenda nao nje ya nchi, halafu unakuja kusafiri na SGR route ya Dar to Moro. Wacha nikae kimya tu.
Bora umegundua kuwa unatakiwa ukae kimya tu we hater maana hauna hoja. Hater itakuwa umebanwa na sonona au una matatizo tu ya kijinsia!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika .katika kuhakikisha watanzania wanautumia kusafiri na kusafirisha mizigo yao kwa uharaka na kwa usalama.

Ambapo mpaka hivi sasa takribani watu millioni moja wamesafiri kwa kutumia usafiri huo tulivu na salama kabisa usio na bughudha .ambapo ukiwa ndani yake unahisi uko ulaya au angani. Rais wetu kipenzi ambaye hivi majuzi Ametoka kuhudhuria mkutano wa G20 Nchini Brazil na kukonga mioyo ya viongozi wengi wakubwa wa Nchi za Magharibi na Marekani.

Ameweza kusafiri na kutua katika kituo cha Jakaya Mrisho Kikwete Mjini Morogoro.Ambapo Rais wetu Mpendwa ameonekana akiwa mwenye bashasha ,furaha na tabasamu kubwa sana katika paji la uso wake huku akiwapungia watu mkono kama ishara ya kuwasalimia na kuwajulia hali .

Jambo ambalo limekuwa la kawaida kwa kipenzi chetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwasalimu na kusalimiana na watu kila anapofika na kukuta watu.hii ni kutokana na tabia yake ya unyenyekevu,ukarimu ,ucheshi na kuchangamana na watu tofauti tofauti bila kumbagua mtu au kumpita mtuView attachment 3159845

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuwa chawa ni Kazi moja ngumu sana
 
3. Ni aina ya viongozi tulionao, kwa ufupi hawana dira na hawajui ni nini wanafanya, kwa ufupi hata hizo nafasi walizonazo ni kwa hisani ya wanganga wao na ushirikina mwingi, wanawahamini sana wanganga kuliko hata uhalisia
Wamekaa kimaonyesho kama 88
 
Unajua ni kwanini hii nchi haiwezi kupiga hatua kuna vitu kama vitatu

1. Aina ya raia wa nchi ni kama aliyeleta huu uzi, mambo ambayo ni wajibu kufanywa na serikali wao wanaona kama hisani

2. Kuna watu wanatakiwa kuliokoa hili taifa, ila wamejizima data, wengine kwa masilai yao binafsi na wengine wanaofia usalama wao

3. Ni aina ya viongozi tulionao, kwa ufupi hawana dira na hawajui ni nini wanafanya, kwa ufupi hata hizo nafasi walizonazo ni kwa hisani ya wanganga wao na ushirikina mwingi, wanawahamini sana wanganga kuliko hata uhalisia
Magufuli ni rais bora wa karne ya 21, nimeliona hili baada ya kutembelea SGR na bwawa la umeme
 
Back
Top Bottom