Rais Samia asafiri kwa Treni Dar es salaam Hadi Morogoro

Hbari ni nini hapa?
Raisi keshawahi kusafiri na hiyo train so hakuna jambo la kushangaza wala jipya hapa
 
Unajaza wasanii kwenye dreamliner kwenda nao nje ya nchi, halafu unakuja kusafiri na SGR route ya Dar to Moro. Wacha nikae kimya tu.
Bora umegundua kuwa unatakiwa ukae kimya tu we hater maana hauna hoja. Hater itakuwa umebanwa na sonona au una matatizo tu ya kijinsia!
 
Kuwa chawa ni Kazi moja ngumu sana
 
3. Ni aina ya viongozi tulionao, kwa ufupi hawana dira na hawajui ni nini wanafanya, kwa ufupi hata hizo nafasi walizonazo ni kwa hisani ya wanganga wao na ushirikina mwingi, wanawahamini sana wanganga kuliko hata uhalisia
Wamekaa kimaonyesho kama 88
 
Magufuli ni rais bora wa karne ya 21, nimeliona hili baada ya kutembelea SGR na bwawa la umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…