Rais Samia ashauriwe namna ya kuongea kama Rais na siyo kuongea kama Samia

Rais Samia ashauriwe namna ya kuongea kama Rais na siyo kuongea kama Samia

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.

Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.

Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!

Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
 
Kumbuka ni mpenzi wa taarabu yule na taarabu na vijembe ni mtu na binamu yake
 
Anaongea kama mama wa familiya na sio kama raisi wa tanzania hapo ndo pabaya usikute hata Safari akawa anawakilisha nchi kama mama wa familia. wapo watu unawanyima ujasiri wa utendaji kazi kwa kauli unavo zitamka. kauli humfanya mtu akaogopwa akaheshimika akadharaulika.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mueleweni Mh Rais kila mtu anayo makuzi yake yanayo kuwa reflected kwenye maisha yake ya kila siku. Hata kama ni Mh Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Kutumia maneno kama watoto/mtoto wazazi wanamlea kama gombe kuzurura huko na huku tena afadhali ya gombe hurudi zizini jioni hayo ni makuzi ya jinsi ya kufikisha ujumbe kukemea maovu kwenye jamii husika.
 
Nimeshangaa hata uwezo wake wa kupambanua mambo.

Ati kadai bei ya mafuta Tanzania ni ndogo kuliko ya Marekani, hivi anajua au amelinganisha range ya mishahara ya Tanzania na ya Marekani? Hivi anajua USA mafuta yanakuwa priced kwa galoni na si kwa lita km sisi Tz?

Sincerely hatotuvusha huyu mmama katiri.
 
kila mtu ale urefu wa kamba yakee... ukinipapasa na mimi nakupapasaa
 
Hali Ni Tete Sana Kuliko Kawaida Viongozi Wanavurugana Tu
Kuna Wanaotaka Mafuta Serikali Ibebe Mzigo Kuna Wengine Kimya
 
Back
Top Bottom