Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Tupe mfano wa hizo kauli......Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!
Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
#Siempre SSH🙏