Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Aibu!
Yeye siyo kisiwa tena ni Rais.Visiwani ndivyo wanavyoongea, mpaka raha...
Yote wayajua wewe hayo!Visiwani ndivyo wanavyoongea, mpaka raha...
Yule mja wala sii wa bara...Yote wayajua wewe hayo!
Yeye siyo kisiwa tena ni Rais.
Ukinipapasa nami nakupapasa ni translation ya neno you scratch my back I scratch yours ni neno la kawaida tu ila sisi hatuna dogo issue imekuwa kubwa unproportionally jamani mwacheni mama apumue hakila mtu ale urefu wa kamba yakee... ukinipapasa na mimi nakupapasaa