Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Tupe mfano wa hizo kauli......Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!
Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
😍Ukinipapasa nami nakupapasa ni translation ya neno you scratch my back I scratch yours ni neno la kawaida tu ila sisi hatuna dogo issue imekuwa kubwa unproportionally jamani mwacheni mama apumue ha
Kuna Kipindi Huku January Makamba Alikuwa Anaonekana Anafaa Kuwa Rais Wa Hii Nchi, Hivi Mpaka Sasa Kuna Watu Bado Wanaamini Hivyo?Hii katiba inamruhusu rais kufanya ama kuongea chochote, na hakuna hatua yoyote atachukuliwa akiwa madarakani au ametoka.
Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!
Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
Kwa hiyo "scratching my back" ni aibu ?!!!Rais anaongea sijui kukuka, sijui kupapasa..aibu sana
"If you scratch my back"....mimi sikusikia vizuri hivi alisema nikimpapasa na yeye ananipapasa au ananipasua
Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!
Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
Hujiulizi unajulikana lakini hukupewa wewe hizo namba 1 na 2?!! 🤣Tatizo namba moja na namba mbili hakuna mwenye unafuu. Tumepigwa na kitu kizito sana.
Ha ha ha!!! Lile jambo letu lipo!!!Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!
Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
apumue alafu sisi tufe na ukali wa maisha ausio...Ukinipapasa nami nakupapasa ni translation ya neno you scratch my back I scratch yours ni neno la kawaida tu ila sisi hatuna dogo issue imekuwa kubwa unproportionally jamani mwacheni mama apumue ha
hizo ni kauli za ccm samia unamuone bureRais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata zinazopelekea kutatiza hasa mambo yahusuyo bei ya vitu!
Vinginevyo, huko mbele ya safari utaja jutia kaulizo.
Mkuu una hoja nzito sana, kuna tofauti ya lita na galon, pia tofauti ya kipato,Nimeshangaa hata uwezo wake wa kupambanua mambo.
Ati kadai bei ya mafuta Tanzania ni ndogo kuliko ya marekani, ivi anajua au amelinganisha range ya mishahara ya Tanzabia na ya marekani?? Ivi anajua USA mafuta yanakuwa priced kwa galoni na si kwa lita km sisi Tz??.
Sincerely hatotuvusha huyu mmama katiri.
Kuna Kipindi Huku January Makamba Alikuwa Anaonekana Anafaa Kuwa Rais Wa Hii Nchi, Hivi Mpaka Sasa Kuna Watu Bado Wanaamini Hivyo?
Aisee!Nasikia Ana washauri wa kutoka udsm ambao wao ndio wanamshauri
Sas badala yey ashauriwe yy ndie anawashauri