Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sawa mzee mmefarijiwa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu asante umeona eeeSawa mzee mmefarijiwa leo
Kama food security ni tatizo hasa kipindi hiki ambacho bei za vyakula zimekuwa juu na watu wengi kushindwa kumudu milo mitatu, inakuwa vigumu sana ku-address nutritional security.Nkuunga mkono mara kumi. Nchi yetu hata wachezaji wa mpira huwezi kujua kama ni wanamichezo. Choka mbaya kweli kweli. Ila rais yeye kaona athari za kudumaa kwenye nguvu za kufanya mapenzi na hakuona kwenye akili na mwili ambavyo ndivyo vinaathiri zaidi.
Ukiona hivyo, bila shaka kuna pesa za ufadhiri hapo. Zanzibar wananyemelea mgawo.Nitoke nje ya mada kwa kitu nilichokiona
1. Shughuli hii ni ya Wizara ya Afya na Wizara ya serikali za mitaa Tanzania Bara
Tazama Rais akiwatambulisha Wageni 2.18
Yupo Nasoro Mazrui- Waziri wa Afya Zanzibar
Shamata- Waziri wa Kilimo Zanzibar
Na Naibu Waziri wa Biashara Zanzibar
2. Shughuli hizi hazihusu SMZ kwasababu si suala la Muungano.
Wizara ya serikali za Mitaa, Afya na Kilimo si mambo ya muungano, Wazanzibar wanakuja kufanya nini?
Nauliza kwasababu ni Wazanzibar wanaolalamika mambo ya muungano kuongezwa
Kwa unafiki wanakuja kwenye mambo yale yale wanayodai yameongezwa, hawayataki.
Nadhani akina Jusa na OMO wanaweza kuuona UNAFIKI huu bila miwani au viona mbali.
Pascal Mayalla Allen Kilewella JokaKuu Kalamu
Bila shaka kuna kitu kwasababu Wazanzibar wanaupenda Utanzania katika 'MAFAO' tu kinyume Uzanzibar ni kitu Bora sana na wao ni Bora !Ukiona hivyo, bila shaka kuna pesa za ufadhiri hapo. Zanzibar wananyemelea mgawo.
Lakini Samia hatakuwa Rais milele. Kadri wanavyozidi kujitumbukiza kwenye mambo yanayoihusu Tanganyika, ndivyo itakavyokuwa vigumu kwao baadae kudai kutokuwa sehemu inayoziunganisha Tanganyika na Zanzibar.
Lakini ni dhahiri kwamba huku kunufaika kwa ziada, hata katika mambo yasiyoihusu Zanzibar kumeshamiri zaidi wakati huu wa Samima.Bila shaka kuna kitu kwasababu Wazanzibar wanaupenda Utanzania katika 'MAFAO' tu kinyume Uzanzibar ni kitu Bora sana na wao ni Bora !
Mazurui kama sikosei ni wa ACT, nilitegemea VP OMO ambaye siku za karibuni alikuwa katika TV akilalamika mambo kuongezwa angemkataza asije kwenye shughuli za TAMISEMI, Wizara ya Afya na Kilimo!
Hakuna hata mmoja wao wakiwemo akina Jussa na wale wa London anayesema!
Kuna siku utawasikia wanalalamika mambo ya muungano kuongezwa! UNAFIKI
Wala si hilo, kuna HESLB wanasema Elimu si suala la Muungano limeongezwa lakini watoto wao wanapokea HESLB kutoka Bara, hawarudishi! Kule Zbar wana ZHESLB ambayo Mtanganyika ni marufuku! UNAFIKI
Wanataka pesa za madini katika asilimia 4.5 na huenda 'limetazamwa ikaongezwa''
Wakati huo huo wamekimbiza mafuta na gesi yao kama itakuwepo isiwe ya Muungano! UNAFIKI
Tunachoonyesha hapa ni Unafiki na kuwasaidia Wazanzibar kwamba ili kuondoa mambo yasiyo ya muungano, yale yasiyowahusu wasijishughulishe nayo kwasababu hatuhitaji utaalamu wao.
Mfano, Wabunge wa Zbar wanakagua miradi ya maji, SGR , Kilimo na Afya inawahusu nini? UNAFIKI
Wanakagua na kufuatilia mambo wanayolalamikia yameongezwa! UNAFIKI
Kesho utawasikia wakiachama vinywa wazi eti mambo yameongezwa! kwa faida ya nani!